Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Kujifanya huongei Kiingereza si dawa. Utapelekwa detention Centre, utasota kule mpaka mwenyewe utasema kwenu ni wapi. After all kule immigration detention Centre kuna huduma ya ukalimani almost lugha kuu zote za dunia.
 
Sasa wakenya ndo wanachomana balaa hizi lawama zilianzia na wakenya
 
Waafrica bana....warudi kwao waache kukaa kwenye nchi za watu kinyemela.
Safi sana wacha wachongeane tuu maana hao ninwezi tuu kama wezi wengine
 
Haraka sana umekuja kukanusha 😁
Swala la kujificha kwenye kichaka Cha ID nyingine toka kitambo siliafiki naona kama ni uoga na udhaifu .

Halafu swala la kufanana avatar kawaida haswa ikiwa ya mtu maarufu ndio maana humu Wenye avatar za Messi , Malcom X, Che Guevara na wengineo wapo watu wengi wakiweka mtu mmoja.

Kazi yangu kubainisha ukweli Kukubali au kukataa mtu ana chaguo lake .
 
Ukimchongea mtu na kupata hako kadola, katakusaidia nini? Sawa natangulia nyumbani ila siku ukija tutaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…