Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?

Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM Wenye Akili ( nje ya Usimba na Uyanga ) Wetu tukibakia kama Wachambuzi wa Masuala Mtambuka tulioonya kuwa kuna HATARI itatokea mbele ya Safari kwani Yanga SC ilikuwa inaenda kumezwa 'mazima' na GSM, ila bahati mbaya Wavivu wa Kufikiri ( Wapumbavu ) hawakutuelewa ila sasa baada ya Bibie Suma Mwaitenda jana Kufunguka mengi alipokuwa 'akijinadi' nadhani sasa mtatuelewa na hata kutuamkia Shikamoo akina GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
 
Timu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.

NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
 
Mpira unataka fedha, mashabiki tunataka furaha. Yanga Ipo kama mgombea hakupata nafasi ya kuchaguliwa katika uchaguzi huu agombee uchaguzi ujao.
Uongozi ni kupokezana.
 
Timu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.

NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
Kam kweli mnataka wasomi Hugo Suma elimu yake ni kubwa kuliko hao wagombea wengine ila kwa sababu ni uneducatedin Eymael voice ndio maana mnachanganya vitu.
 
Huyo Dada yupo vizuri anajenga hoja na smart sana ningekua mjumbe kura yangu angepata ila kitakacho mponza ni Ahmed Alli sijui amewashwa kitu gani either ni makusudi au bahati mbaya kumpigia kampeni kasha haribu kila kitu
Ni kweli Ahmed Ally amemuharibia ila hata na Yeye pia jana kile Kitendo cha kuitolea Mifano Simba SC kwa Mafanikio iliyopata kitamponza kwani 99% ya Wapiga Kura wa Yanga SC ni Mapopoma watupu tu.
 
Tulishaambiwa nyie ni mbumbumbu sasa nani atafanyia kazi ushauri wa mbumbumbu?
 
Timu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.

NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
Hersi na huyo anayejiita Gharib wote ni watumishi wa msoga. GSM ni msoga.
 
Hawa wanaojiita wawekezaji ktk hizi timu kubwa mbili wapo kimaslai yao zaid na sio kwa ajili ya hizi timu....!!!

Timu km taasisi hazinufaiki chochote na uwekezaji wa hawa watu ndio maana miaka nenda rudi timu hazina proper infrastructures za majengo viwanja mifumo maalumu ya kuzingizia fedha za kujiendesha zenyewe km taasisi na kuacha kutegemea wafadhil na wanachama...kuna madudu mengi sana kwenye hzi timu
 
Tulishaambiwa nyie ni mbumbumbu sasa nani atafanyia kazi ushauri wa mbumbumbu?
Mbumbumbu na Nyani, Mbwa na Sokwe kama alivyosema aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji nani ni HATARI zaidi?
 
Timu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.

NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
Huo uongo ndio anawadanganya Hersi
 
Back
Top Bottom