Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasimba hawezi kuhurumia Yanga kiasi hicho. Acha uchokonoko wewe ni Simba kindakindakiUmeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM Wenye Akili ( nje ya Usimba na Uyanga ) Wetu tukibakia kama Wachambuzi wa Masuala Mtambuka tulioonya kuwa kuna HATARI itatokea mbele ya Safari kwani Yanga SC ilikuwa inaenda kumezwa 'mazima' na GSM, ila bahati mbaya Wavivu wa Kufikiri ( Wapumbavu ) hawakutuelewa ila sasa baada ya Bibie Suma Mwaitenda jana Kufunguka mengi alipokuwa 'akijinadi' nadhani sasa mtatuelewa na hata kutuamkia Shikamoo akina GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Ni hivi Rais wa yanga ni Eng,Hersi said, makamu wa Rais ni Arafat haji, wajumbe wa excom bado tunawachuja kabla atujaamua, uyo Suma mwaitenda tunamuhitaji kwenye nafasi nyingine tutakayompa ndani ya yanga but sio kwenye nafasi ya umakamu wa Rais kwa sasa, Combination ya Hersi na Arafat haji imeclick tiyali kwenye safu iyo ya juu na siku zote njiwa wanaofanana huruka pamoja, trh 9 tunakwenda kuhitimisha takwa la kikatiba tu lakini uchaguzi tushaumaliza hizo ngonjera mnazopiga ni sawa na mbio za sakafuniUmeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM Wenye Akili ( nje ya Usimba na Uyanga ) Wetu tukibakia kama Wachambuzi wa Masuala Mtambuka tulioonya kuwa kuna HATARI itatokea mbele ya Safari kwani Yanga SC ilikuwa inaenda kumezwa 'mazima' na GSM, ila bahati mbaya Wavivu wa Kufikiri ( Wapumbavu ) hawakutuelewa ila sasa baada ya Bibie Suma Mwaitenda jana Kufunguka mengi alipokuwa 'akijinadi' nadhani sasa mtatuelewa na hata kutuamkia Shikamoo akina GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Lebal ndiyo nini?Mimi naomba kufahamu kwanini simba sc walikataa kuvaa jezi zenye lebol ya gsm
Lebo mkuuuLebal ndiyo nini?
Wewe na Suma Mwaitenda tunaomba muendelee na majukumu yenu mengineSuma Mwaitenda ni Lecturer Ardhi University, na ni Makamu rais wa quantity surveyors Tanzania. Level ya kulima maparachichi alivuka zamani sana!
Mimi kama mwanaUtopolo, nadhani Suma Mwaitenda angefaa zaidi kua makamu. Anayo experience ya uongozi hata ndani ya Yanga alikua Mjumbe. She's educated, na atasaidia kukuza brand ya Yanga kwa kuleta gender balance kwenye uongozi.
Kile kidada cha Makolo kidemu cha "mwamedi", kilitakiwa kipate mwanamke mwenzie upande wa Yanga wasumbuane, wakati wanaume akina Hersi wanaiweka team kwenye mstari.
Huyo SUMA inabidi arudi mbeya kulima maparachichi
Huyo Dada yupo vizuri anajenga hoja na smart sana ningekua mjumbe kura yangu angepata ila kitakacho mponza ni Ahmed Alli sijui amewashwa kitu gani either ni makusudi au bahati mbaya kumpigia kampeni kasha haribu kila kitu
Maajabu haya
Mgombea wa ccm lakn chadema wanampigia kampeni
Mpira pesa maneno hayajengi
Hersi na huyo anayejiita Gharib wote ni watumishi wa msoga. GSM ni msoga.
Ukiona Yanga haiendani na itikadi zako,unaacha kuishabikia tu Mzee wanguMimi nilishangaa tuu siku ya Royo tuwa ya Kombe lao walipopokelewa airport na kufika kilabuni kwao, niliona dua za kiarabu zinapigwa pale, nikajiuliza hawa watu hawajistukii, yani wanaona ni haki yao ya msingi kufanya hivyo? Sijui kama wamefanya tafiti za itikadi za wafuasi na mashabiki wao
makolo ile collabo ya Arafat na Hersi awalitaki kabisa
Yanga ishachukuliwa
GSM walikuwa wanatafuta kukaa kwenye maamuzi ya jumla ya Club na amefanikiwa
Hii inaitwa deal done tusubiri yajayo
Huyu Dada amekosea step yake kabisaAmemtumia Ahmed All kama kichaka tu.
Alikosea tangu mwanzo kuwapa nafasi vijana wa simba sc kumpromote.
Baada ya hapo kila shabiki wa simba akaona kumpromote yule dada ni kuikomoa yanga sc.
[emoji23][emoji23]
Waweke kabisa itikadi zao kwenye katiba yao na watangaze kwenye public ili tukiishabikia tujue ni taasisi yenye mrengo fulani ili tukiisgabikia iwe at own risk.Ukiona Yanga haiendani na itikadi zako,unaacha kuishabikia tu Mzee wangu
Upo sahihi kabisaUmeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM Wenye Akili ( nje ya Usimba na Uyanga ) Wetu tukibakia kama Wachambuzi wa Masuala Mtambuka tulioonya kuwa kuna HATARI itatokea mbele ya Safari kwani Yanga SC ilikuwa inaenda kumezwa 'mazima' na GSM, ila bahati mbaya Wavivu wa Kufikiri ( Wapumbavu ) hawakutuelewa ila sasa baada ya Bibie Suma Mwaitenda jana Kufunguka mengi alipokuwa 'akijinadi' nadhani sasa mtatuelewa na hata kutuamkia Shikamoo akina GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?