Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makolo ile collabo ya Arafat na Hersi awalitaki kabisaTimu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.
NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
Vipi na hapa ulisema chochote?Hapa unapoint. Mgombea urais anaingilia uchaguzi wa makamu wa Rais.
Manji alituambia tumuwekee sanga makamu na hadi wajumbe kina kleb aliwaombea kuraVipi na hapa ulisema chochote?View attachment 2283369
Ndio maana namuuliza huyo jamaa, hiyo yote ni kuwa wanamuogopa Injinia sanaManji alituambia tumuwekee sanga makamu na hadi wajumbe kina kleb aliwaombea kura
Hivi hili jina la "makolo" alilitunga nani?makolo ile collabo ya Arafat na Hersi awalitaki kabisa
Nilipofika hapo kwenye hoja ya uwezekano wa Arafat kuwa Rais wa Zanzibar, nikagundua hoja imetoka kwa mtu asiye na uelewa wowote juu ya siasa za Zanzibar ila analazimisha kuonekana anajua.Timu inahutahi backup za Nje ya uwanja.Engineer anaback ya rais mstaafu kikwete na hata Samia.Arafat na backup ya mwinyi rais wa Zanzibar.Suma ni mwalimu TU.sasa utafananisha na Arafat?Arafat akiendelea vema anaweza kuwa hata rais wa Zanzibar baadae.
NB:Yanga inawagombea wasomi sana levo za juu za uongozi,wakati huohuo Simba walioomba urais ni wahuni TU kina mangungu Shangazi na yule wa rais atawale milele
Chukua mmojaTulishaambiwa nyie ni mbumbumbu sasa nani atafanyia kazi ushauri wa mbumbumbu?
Ulisahau kuambatanisha documents ili akuelewe vizuri.Mbumbumbu na Nyani, Mbwa na Sokwe kama alivyosema aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji nani ni HATARI zaidi?
Haji manaraHivi hili jina la "makolo" alilitunga nani?
Kosa moja halihalalishi lingine. Kama kuna habari ya mgombea mwenza sawa. Lakini kama kila mgombea anajitegemea haijakaa sawa.Vipi na hapa ulisema chochote?View attachment 2283369
Ahaaah. Kuna watu wanapenda kulitumia Sana hili neno. Ila watu hao Manara huyo huyo alishasema kuwa "hawana akili".Haji manara
Sawa kolo tumekusikiaAhaaah. Kuna watu wanapenda kulitumia Sana hili neno. Ila watu hao Manara huyo huyo alishasema kuwa "hawana akili".
Kwa watu hao kushabikia maneno ya mtu aliyedai "kuwa hawana akili" inathibitisha tu kuwa "ni kweli hawana akili".
namatoki piaHuyo SUMA inabidi arudi mbeya kulima maparachichi
Pilipili usioila inakuwashia nini?Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM Wenye Akili ( nje ya Usimba na Uyanga ) Wetu tukibakia kama Wachambuzi wa Masuala Mtambuka tulioonya kuwa kuna HATARI itatokea mbele ya Safari kwani Yanga SC ilikuwa inaenda kumezwa 'mazima' na GSM, ila bahati mbaya Wavivu wa Kufikiri ( Wapumbavu ) hawakutuelewa ila sasa baada ya Bibie Suma Mwaitenda jana Kufunguka mengi alipokuwa 'akijinadi' nadhani sasa mtatuelewa na hata kutuamkia Shikamoo akina GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Suma Mwaitenda ni Lecturer Ardhi University, na ni Makamu rais wa quantity surveyors Tanzania. Level ya kulima maparachichi alivuka zamani sana!Huyo SUMA inabidi arudi mbeya kulima maparachichi
"Katika listi ya Manara ya wenye akili pale utopolo, wewe haupo" . Nakukumbusha tu.Sawa kolo tumekusikia