Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

Samia anakuna kichwa nchi anaisogeza vipi aje kudeal na upumbavu huo
 
makolo ile collabo ya Arafat na Hersi awalitaki kabisa
 
Nilipofika hapo kwenye hoja ya uwezekano wa Arafat kuwa Rais wa Zanzibar, nikagundua hoja imetoka kwa mtu asiye na uelewa wowote juu ya siasa za Zanzibar ila analazimisha kuonekana anajua.
 
Haji manara
Ahaaah. Kuna watu wanapenda kulitumia Sana hili neno. Ila watu hao Manara huyo huyo alishasema kuwa "hawana akili".

Kwa watu hao kushabikia maneno ya mtu aliyedai "kuwa hawana akili" inathibitisha tu kuwa "ni kweli hawana akili".
 
Ahaaah. Kuna watu wanapenda kulitumia Sana hili neno. Ila watu hao Manara huyo huyo alishasema kuwa "hawana akili".

Kwa watu hao kushabikia maneno ya mtu aliyedai "kuwa hawana akili" inathibitisha tu kuwa "ni kweli hawana akili".
Sawa kolo tumekusikia
 
Pilipili usioila inakuwashia nini?
 
Huyo SUMA inabidi arudi mbeya kulima maparachichi
Suma Mwaitenda ni Lecturer Ardhi University, na ni Makamu rais wa quantity surveyors Tanzania. Level ya kulima maparachichi alivuka zamani sana!

Mimi kama mwanaUtopolo, nadhani Suma Mwaitenda angefaa zaidi kua makamu. Anayo experience ya uongozi hata ndani ya Yanga alikua Mjumbe. She's educated, na atasaidia kukuza brand ya Yanga kwa kuleta gender balance kwenye uongozi.

Kile kidada cha Makolo kidemu cha "mwamedi", kilitakiwa kipate mwanamke mwenzie upande wa Yanga wasumbuane, wakati wanaume akina Hersi wanaiweka team kwenye mstari.
 
Yanga ishachukuliwa

GSM walikuwa wanatafuta kukaa kwenye maamuzi ya jumla ya Club na amefanikiwa

Hii inaitwa deal done tusubiri yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…