Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ndio maana niliwaambia wadau akitaka urafiki wewe kubali ila nenda kwa akili tembea na beat lake.[emoji23]
Binafs akishataka urafiki,

Naweza mkubalia kisiasa TU,

Ila mbeleni uko atajua kabisa hili jamaa limechukia, na halitaki hizo mambo.

Ntampiga sanctions za maana mpk atasema huu urafiki Sasa umekua uadui.

Yeye mwnyw atajiongeza tuendelee next step au kila mtu afanye bizness zake.
 
Urafiki una faida kwa Nyie wanawake, hasa wa vijijini.

Ile kwa mwanaume ile Ni time consuming na expensive, Unatumika Kama danga TU.

Ni nzur Kama mwanamke Kama hapigi vizinga, au Hana mahitaji yoyote ya pesa.

Sema kwa maisha ya mjini mjini.
gharama za maisha ziko juu mno,

uzoeane na mwanmke tu bila kumhudumia au kutumia nae pesa zako

Hiyo hata wee mwnyw mwanume utajistukia, Hapa nazingua aisee.

ANAISHIJE HUYU MWANAMKE?[emoji848]
Kama marafiki lazima mtoke out na gharama ni juu yako. Na kama unamtaka unajiongeza gifts za hapa na pale. Kama anakupenda hachomoi utamla tu siku si nyingi
 
Kama marafiki lazima mtoke out na gharama ni juu yako. Na kama unamtaka unajiongeza gifts za hapa na pale. Kama anakupenda hachomoi utamla tu siku si nyingi
Umeongelea upande mmoja,
Vipi Kama hakupendi?

Ndo itakua kupotezeana muda na kujiharibia riziki kwa wanawake wengn wenye MDA na Wewe.

Maana ke wengn wakoliona uko bize na mwenzao,wanajua tayar mna mahusiano wanajiweka kando.
 
Kama marafiki lazima mtoke out na gharama ni juu yako. Na kama unamtaka unajiongeza gifts za hapa na pale. Kama anakupenda hachomoi utamla tu siku si nyingi
Na out za mjini Kama ujuavyo huwez mpeleka binti wa Watu magengeni

Utaacha shughuli zako,utumie gharama zako ili kujipendekeza TU ili kulazimishwa KUPENDWA.

Yaan Apo hata akikukubalia jua kakuonea tu huruma unavoteseka Kwa ajili yake[emoji1]
 
Umeongelea upande mmoja,
Vipi Kama hakupendi?

Ndo itakua kupotezeana muda na kujiharibia riziki kwa wanawake wengn wenye MDA na Wewe.

Maana ke wengn wakoliona uko bize na mwenzao,wanajua tayar mna mahusiano wanajiweka kando.
Kama hakupendi basi😀
Ni kama bahati nasibu
 
Kama hakupendi basi[emoji3]
Ni kama bahati nasibu
Yote ya Nini Sasa kubet mahusiano na wanawake wazuri wapo lukuki Duniani.

Hii kila siku nasema,
huu ujinga wafanyiwe wanaume dhaifu, desperate na wasiojiamini

Huwez ukawa mwanaume una soko ukaanza kujiliza kisa mapenzi.

Otherwise uyo mwanamke niwe nishamvua na nmegundua ana kitu special sn Kama alivyo kwa mamaJ.

Hapo hata mwaka mzima ntasuburi jibu[emoji38]
 
Mara nyingi hua inanichukua mda sana kujenga urafiki na mdada hadi kufika hata ya kutafuna viungo vyake!

Kuna Moja nlitumia miezi mitatu 😁saiv napata non stop supply ya utelezi

Kuna moja kanipa namba zake mitaaa ya china plaza 😁kitu ya mbeya dadeq ana mtindi huo

Nkimaliza ntauza address yake Kwa mzabzab
 
Maisha yanebadilika mkuu,
Kumbuka elimu yetu inatumia mtaala was mwaka 1977 tulioachiwa na mkoloni[emoji1]
Vijana wa chips yai hawataki kuzungushwa... ni nakupenda... haya.. twende tukatiane karoti... imeisha!
 
Binafs akishataka urafiki,

Naweza mkubalia kisiasa TU,

Ila mbeleni uko atajua kabisa hili jamaa limechukia, na halitaki hizo mambo.

Ntampiga sanctions za maana mpk atasema huu urafiki Sasa umekua uadui.

Yeye mwnyw atajiongeza tuendelee next step au kila mtu afanye bizness zake.
Yaah
 
Kumtongoza mwanamke ni process inayohitaji kuzingatia vitu vingi na moja wapo ni uwezo wako wa ku predict outcomes before making a move.
Yan kuna mamzingira unapaswa kujua kabisa hapa kwa namna yoyote ile the answer will be no..na kuna mazingira unaweza kutengeneza ili ku guarantee a Yes as an answer
fact
 
Mara nyingi hua inanichukua mda sana kujenga urafiki na mdada hadi kufika hata ya kutafuna viungo vyake!

Kuna Moja nlitumia miezi mitatu 😁saiv napata non stop supply ya utelezi

Kuna moja kanipa namba zake mitaaa ya china plaza 😁kitu ya mbeya dadeq ana mtindi huo

Nkimaliza ntauza address yake Kwa mzabzab
Ati china plaza? Ni mnyaki? Isije kuwa nilishapiga nae huyo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom