Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

Maneno Yako yangekuwa ya kweli mbona ingekuwa balaa...kwakuwa ni maneno kama ya kwenye kanga haaaa yupo yunapiga bia tu hapaπŸ˜„πŸ˜„
Fanya hivi kaanze biashara sokoni kati kati utakuja na emoji nyekundu
 
Kama yuko na mishe zake achana nae, labda kama kakuvamia kwenye makazi yako na kuhatarisha usalama wenu.

Zamani hata mimi nilikua nawachukia sana hao viumbe nikiamini kivyovyote mkikutana lazima akudunge, kumbe sivyo.
 
Ujuaji usikuwa na maana umefanya utafiti umeuliza wachimbaji wangapi na wamekwambia vp kuhusu huyo nyoka ??
 
H
Haka nikashenzi tu hakajui lolote
 
Usituletee story zako za fb huku hakuna watoto wenzio
 
Rangi yake ya nyoka tu Tayari ni utajiri Aise, anang'aa kidhabu kabisa πŸ˜‹πŸ˜‹
 
H

Haka nikashenzi tu hakajui lolote
Nani mshenzi?

Na wachimbaji gani unaowazungumzia? Hao wanaozurura kila pahala?

Na unaelewa mambo ya kiroho wewe? Au umeanzisha mada kuonyesha jinsi unaamini vitu usivyoweza kuvielezea?

Sasa nakuuliza elezea uhusiano uliopo baina ya huyo nyoka na madini, na nikuelewe, sio kuleta bla bla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…