Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Siku zote hamnaga Imani na jeshi la polisi, mbona kwenye hii ishu Imani yenu imekuwa kubwa sana kwa jeshi?Na wewe unafikiri jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?
Wapumbavu kama wewe hata paroko akibaka mkeo au mtoto wako bado uta mtetea paroko.
Sina dini wala imani ya aina yeyote ile.Udini unakusumbua bwanamdogo...
Huna hoja zaidi ya kufoka foka tu.
Umekula kwanza?? 🤔🤔🤔
Ungekuwa mfatiliaji ungeona taarifa ya polisi kukanusha twitterHuu ni ufafanuzi uchwara.
Kujaribu kuficha ficha upumbavu na uovu wa huyo padri wenu.
Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?
Leteni uthibitisho hapa kwamba huyo mtuhumiwa sio paroko.
Sio kuleta stori uchwara za vilabuni huko mshakunywa ulanzi mna bwabwaja bwabwaja hapa...!!!
Siku zote zipi?Siku zote hamnaga Imani na jeshi la polisi, mbona kwenye hii ishu Imani yenu imekuwa kubwa sana kwa jeshi?
Msaidizi wa Paroko vs Paroko Msaidizi! Kuna watu wana vichwa vigumu sana Mkuu.Polisi wameshatoa taarifa huyo mtu alikuwa msaidizi wa paroko na wala hakuwa na ajira ya kanisa katoriki katafuteni scandal nyingine ya kuwachafua TEC
Mbona upo nje ya mada? Nilichojibu hapo ni kuhusu kanisa katoliki kuwa kimya, sio kukubali au kutokubaliana tuhuma za padiri. Kwa jinsi ulivokurupuka kuniquote umeonesha ni jinsi gn kichwani ulivyo empty.Na wewe unafikiri jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?
Wapumbavu kama wewe hata paroko akibaka mkeo au mtoto wako bado uta mtetea paroko.
Leta hiyo taarifa hapa.Ungekuwa mfatiliaji ungeona taarifa ya polisi kukanusha twitter
Unataka kanisa lifanyeje?Mbona upo nje ya mada? Nilichojibu hapo ni kuhusu kanisa katoliki kuwa kimya, sio kukubali au kutokubaliana tuhuma za padiri. Kwa jinsi ulivokurupuka kuniquote umeonesha ni jinsi gn kichwani ulivyo empty.
Dah inaonesha una stress sana za mkeo nyumbani kwako. PoleUnataka kanisa lifanyeje?
Lika mtetee huyo mtuhumiwa kwa vile ni padri wao?
Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja.Dah inaonesha una stress sana za mkeo nyumbani kwako. Pole
. Nimeshindwa kufuatilia hii habari ya huyo Padre, kwa Sababu haileweki.Sina dini wala imani ya aina yeyote ile.
Niko hapa kukosoa hawa wajinga wanao jaribu kutetea uovu wa huyo padri.
Yeah sure..1. Taarifa ya polisi ilipaswa kusema ni padre wa jimbo katoliki la Bukoba. Awe paroko au msaidizi wa paroko is immaterial. Awe teja au alisimamishwa, anabaki kuwa ni padre wa jimbo la Bukoba. Mwenye mamlaka ya kuthibitisha au kukana, ni askofu wa jimbo la Bukoba pekee! TEC sio msemaji wa mapadre. NI BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TZ
Jeshi la polisi limemtaja mtuhumiwa very clearly kwamba ni "Elpidius Rwegoshora" ambaye ni paroko msaidizi na kuna mdau hapo juu katuma link yenye list ya mapadri wote wa Bukoba.. Nimeshindwa kufuatilia hii habari ya huyo Padre, kwa Sababu haileweki.
. Nimetafuta source kadha ili nijue vizuri, lakini sijaona maneno yaliyo shiba kuhusu hilo suala.
Labda kuna updates zozote police wamezitoa hadi sasa ???
Kukurupuka au kuto kukurupuka hiyo siyo yangu na wala wewe huwezi kuithibitisha chochote. Mjadala uliopo ni kama kweli yule ni padre au sio padre maana kadili ya polisi ni kwamba walivomkamata mtuhumiwa alidai yeye ni msaidizi wa paroko, elewa maana ya sentensi msaididizi wa paroko. so sio lazima awe padre. Wenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni kanisa katoliki wenyewe sio wewe mpita njia, na ndio msingi wa hoja ya mleta mada.Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja.
Naku uliza hivi,👇
Jeshi la polisi limekurupuka from no where kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?
Wakristo wa ajabu sana,yaani wanadhani polisi wanabahatisha sijui,halfu kwann wanatetea uhalifu au muhalifu kisa tu mkristo mwenzao au kiongozi wao,as if ni malaikaHuu ni ufafanuzi uchwara.
Kujaribu kuficha ficha upumbavu na uovu wa huyo padri wenu.
Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?
Leteni uthibitisho hapa kwamba huyo mtuhumiwa sio paroko.
Sio kuleta stori uchwara za vilabuni huko mshakunywa ulanzi mna bwabwaja bwabwaja hapa...!!!
Mapumbavu sana haya majinga,yanatetea upuuziNa wewe unafikiri jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?
Wapumbavu kama wewe hata paroko akibaka mkeo au mtoto wako bado uta mtetea paroko.
Huna akili we na wenzio,mnatetea muuaji kisa tu mkristo mwenzenu, kwenu kiongozi hata akimphila mwanao ni sawa tuTatizo lenu mnapenda sana kulichafua Kanisa Katoliki ndio maana wengine tukiamua kusimama kulitetea kwa ujinga wenu mnatuita wafia dini, mnataka tukae kimya ili mtimize malengo yenu hasi ya kulisema vibaya Kanisa Katoliki, hilo halitawezekana nawaambia.
Kwani lini Kanisa Katoliki lilishatuhumiwa likajitokeza hadharani kujitetea? Mtakumbuka kwamba wakati wa Covid-19 Karibu Mkuu wa TEC alitoa msimamo wa Kanisa Katoliki kuhusu kuwepo kwa Covid-19 na kuwaasa waumini wake wachukue tahadhari kwa vile Kanisa tayari lilikuwa limeshapoteza watu wake "kwa hiyo halisemi kwa kubahatisha". Baada ya kusema hivyo, kulijitokeza baadhi ya watu, wengine wamo humu jf ambao walitia tuhuma nzito kumhusu yeye tangu akiwa Principal wa SAUT na wengine walitumia platforms mbalimbali kumchafua (unaweza kucheki YouTube), lakini hakuna hata siku moja alijitokeza kujibu tuhuma au Kanisa Katoliki kujitokeza kufafanua. Yote Kanisa linamwachia Mungu na halijawahi kupungukiwa na kitu.Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Unaongea utafikiri tayari mahakama imeshathibitisha kwamba waliokamatwa ni wahalifu, tofautisha tuhuma na hukumu. Unamwitaje mtu muovu kwa tuhuma tuuJeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?
Au unaleta hisia zako za kidini kutetea uovu na upumbavu alioufanya huyo padri?