Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!
Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!
Huu utoto soon utakwisha!! Lile tumbo la Lissu litapasuka!Achana nao mzee hao.
Hao wako kwenye project maalum ya kula hela za Abdul na CCM mambo yao binafsi yaende.
Hawana hoja zozote za msingi ni upuuzi tu.
Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!
Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!
Una utoto mwingi sana nani kakosa pa kushika mimi au Lissu? Subiri ujionee yajayo yanafurahisha!!Mmekosa pa kushikia. Sasa hivi mnahangaika na lolote tu. Eti Maria Sarungi wa ACT ndio aivuruge CHADEMA?. Kuwa serious. Mwacheni Lissu aongoze chama, maana hamkutegemea kama angemuangusha Mbowe.
Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!
Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!
Mna hela nyingi sana mlizowaibia Watanzania mwaka huu ili kufanya ufedhuli wenu.Huu utoto soon utakwisha!! Lile tumbo la Lissu litapasuka!
Teh teh teh huu ndo utoto unaokwenda kummaliza Lissu!! Soon atakimbilia ubelgiji!Dalali alikuwa Mbowe
Utoto unakusumbua ila katika hili Lissu kakalia msumari.
Tulioko njiani kujiunga CDM tupo wengi kuliko hao G55 wanaoondoka,by the way,G55 ni kundi lililojigawa kutoka ccm enzi hizo,niambie kama kuna anayekumbuka kama liliwahi kuwepo.Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
4. Lema hapakuwa na mpaka sasa na haja ya press hii! Inawagawa zaidi kuliko kuwaunganisha! Mengine kaa nayo kifuani, play altruism!
Kwa hivi nani atawapa nchi? kama mnashindwa ku handle simple internal misunderstandings, mwenye akili kweli atawapigia kura?
Watu wako kwenye udalali wa siasa ili kujinufaisha binafsi.Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?
Kwa kifupi hawa G55 wa CHADEMA ni madalali wa kisiasa. Ni mapandikizi yanayotumia siasa kujinufaisha binafsi.Tulioko njiani kujiunga CDM tupo wengi kuliko hao G55 wanaoondoka,by the way,G55 ni kundi lililojigawa kutoka ccm enzi hizo,niambie kama kuna anayekumbuka kama liliwahi kuwepo.
chama ni kikubwa kuliko kundi dogo la waasi.
Dua la kuku ππUtoto unakusumbua ila katika hili Lissu kakalia msumari.
Hahahaha!! Nilikwambia awali muda utaamua. Huu utoto tu unakusumbua lakini kinachokuja mbeleni Lissu atajuta kwa aliyofanya!! Siyo tu atakwama CHADEMA but atalipia ule ushenzi in a hard way... andika chini hiki kitu utakuja kupigia mstari. Hujui unaongea na mtu wa aina gani au una akili za kitoto zile za kuamini bahari inamilikiwa na baba yako.Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?
Lissu na Lema wanakula tone tone wao wakale wapi?Kwa kifupi hawa G55 wa CHADEMA ni madalali wa kisiasa. Ni mapandikizi yanayotumia siasa kujinufaisha binafsi.
We ni nani ujilinganishe na Lissu? Nani anakojoa? Hahah na Id fake yako! Lissu ni historical figure kwa nchi kijana we pata supu upunguze kujipa umuhimu kwnye cause za watuUna utoto mwingi sana nani kakosa pa kushika mimi au Lissu? Subiri ujionee yajayo yanafurahisha!!
Na kwa list ile hapo ndo msumari aliokalia Lissu!! Lema ni chokoraa tu sahvi asie na mwelekeo maana hapo alipo anapewa Assylum benefits za Canada anataka wenzie wapige tarumbeta huku Lissu akipokea vivisection vya ubelgiji! Hawa hayawani waende na uko aisee
Lissu kakalia msumri na hafiki popote zaidi atalia machozi na kichaa alichonacho kitazidi...Dua la kuku ππ
Hata shetani anajua hakuna mwanasiasa msafi nchi hii kama Lissu.Lissu na Lema wanakula tone tone wao wakale wapi?