Ataondoka LissuWaunde chama Chao cha CHAMA CHA DEMOKRASIA NA HAKI (CHADEHA)
Kupigwa ni kupigwa tu..Kama hajapigwa angekuwa Chairman sasahivi..Alimpiga kwa margin gani? Hili mbona hamtaki lisema? Kwahyo kwa utomvu uliobeba kichwani ndo unaiona ni nguvu ya kuikabili TZ nzima akazuia uchaguzi? Huna tofauti na mtoto anayeamini baba yake ndo mmiliki wa ulimwengu hahahahahahaha!
Jibu swali kampiga kwa margin gani? Ukielewa maana ya hili swali utakua genius vinginevyo nawewe ni mtoto Kama wanywa visungura wenzio humu shwaini!Kupigwa ni kupigwa tu..Kama hajapigwa angekuwa Chairman sasahivi..
Ahache kazi nyingine za chama kisa kuponya majeraha ya watu walioapa kutokupona wewe ungeliweza hiyo kazi?.Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
Wacha jazba Dada yangu!!Sasa taarabu za nini?Je Lissu amemshinda Mbowe au ameiba kura?Jibu swali kampiga kwa margin gani? Ukielewa maana ya hili swali utakua genius vinginevyo nawewe ni mtoto Kama wanywa visungura wenzio humu shwaini!
Hao kasongo hatuwawazi kabisa hrkt zinaendelea no reforms no electionWakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).
Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA
Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.
Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.
Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
Hayo maoni mbadala wayapeleke ccm kama hawajanyongwa
Sawa mkuu ,screeshot hiyo kwa kumbukumbu.(Reference).CHADEMA ilikuwa imekufa Lissu kaifufua.
Kilichowashinda kwenye uchaguzi ni kipi, ndio mkiweze mkiwa nje, au ni hizo press conference mnazoandaliwa na ccm.Lissu anaangukia pua you can take it to the bank!
Jibu swali kapita kwa margin ipi?Wacha jazba Dada yangu!!Sasa taarabu za nini?Je Lissu amemshinda Mbowe au ameiba kura?
Just wait and see!!Kilichowashinda kwenye uchaguzi ni kipi, ndio mkiweze mkiwa nje, au ni hizo press conference mnazoandaliwa na ccm.
Hata angemshinda kwa kura moja, bado ni kumshinda tu. Ifahamike Lisu hakuwa hata na hela ya kuhonga.Lissu alimshinda Mbowe kwa kura ngapi?
Day dreams.Just wait and see!!
Lissu anawapa wakati mgumu sana nyie fisiemu na vibaraka wengineNa yule dada wa Nairobi na anawakoroga balaa!! Tuliona mbali sana uwezo wa kuongoza taasisi kubwa kama CHADEMA lissu hana na hakua tayari. Muda ni hakimu wa yote.
Mlishamkataa Sasa aongee Nini Tena?Wakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).
Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA
Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.
Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.
Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
tatizo timu yake inaleta sintofahamu, ni wapuuzi wanakifedhehesha chamaMlisema anatakiwa kupunzika na kuacha Damu mpya, Damu za kiharakati zilete chadema Mpya...
Ivo kapunzika.
Ni haki yao kikatiba kutoa maoni yao kuhusu hatma zao kisiasa.tatizo timu yake inaleta sintofahamu, ni wapuuzi wanakifedhehesha chama
Dharau mlizomuonyesha halafu bado unataka awe bega kwa bega na akina Lissu kweli!? Hebu tumia basi kaubongo kako hakodogo vizuri.Wakuu