PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!
Mambo ya Chadema yanawaumiza sana nyie wajinga. Mbowe ahamie huko Ccm. Mh Lissu shikilia hapo hapo mpaka akili ziwakae sawa
 

Mrema afukuzwe haraka kwani anavuruga chama wakati shida zote na mauaji yote na vifungo yalisababisha na Mbowe .Chini ya uongowiz wa .
Mbowe alianzisha oparation ya mgomo wa UKUTA .Mbowe ndiye aliyeanzisha Kauli ya Samia Must Go Ikavuruga Maridhiano . Watu hawataki kuwa Wakweli kwa sababu aliyevuruga maridhiano sio Lisu bali ni Samia akaonyesha rangi yake ni Mbowe alipoitisha Maandamano ya kumtoa madarakani Samia Jambo lilisababisha IGP atangaze kuwa Chadema wanataka kupindua serikali . Samia akatangaza kuwa Wa Chadama wameota mikia hivyo ilibidi atangaze kwa hasira na kuonyesha Chuki yake dhidi ya wapinzani . Maridhiano yalavunjika . Lisu hakupinga Maandamano ya kumpindua Samia ambaye kabla ya kuvunjika kwa maridhiano alikua halipendi kabisa Jeshi la Polisi kwa sababu ya Tabia za kuonea watu na kuwabambikia kesi .
Lisu aliona dalili mbaya za kuvunjika kwa maridhiano ya Chui la swala akaonya kuwa yale maridhiano hayakuwa na nia ya dhati . Hata hivyo hakuanzisha mgomo aliendelea na harakati za kudai katiba mpya .

Mbowe akaanza kuvuruga chaguzi ndani ya Chama ukiwemo ule wa kanda ya Nyasa na kumfanyia figisu Msigwa . Alipolazimika sana Mbowe hakujibu chochote,Lisu akaamua kusafiri na Msigwa kwenye mikutano ya Kudai katiba mpya . Kidogo Msigwa akaonyesha hali ya utulivu lakini cha ajabu ghafla Mbowe akamuita Lisu Arusha na kumtema Msigwa ili asiendelee na mikutano . Lisu akaamua kuhama chama .

Mbowe alijisahau kuwa Kile Chama kiliimarishwa na Wasomi kama akina Msigwa ,Kisu ,Zito kabwe, Dr. Slaa ,Lowasa ,Sumaye,Selasini , Mashinji , Dr.Moleli ,Halima Madee, Lwaitama ,Profesa Safari , Prof.Baregu n.k. Na wote walikua wanaomtii na kumuunga mkono sio kwa sababu alikua na pesa hapana bali walikua na nia ya kukijenga chama .

Leo Mbowe anashindwa kumuunga mkono Lisu wakati Kauli ya No reform no Election ni kauli ya Mbowe akiwa mwenyekiti.

Au wanataka Lisu avunje Kauli ya Chama ili waseme hana msimamo hivyo hafai ?
Kwa nini anaanza kumvuruga mwenzake mapema hata kabla hajamaliza Mwaka mmoja au muhula mmoja wa uongozi ?
Mrema kama ametangaza nia je,jina lake likikatwa na kupitishwa mtu mwingine itakuwaje?

Wafukuzeni mapema kabisa ili hata kwenye kampeni za CCM wasipate kiki kwa sababu Chadema hawatashiriki hivyo wa atakosa hoja kwenye majukwaa na kwa sababu hawaijui CCM watakua hawana umuhimu zaidi ya kulalamika kua Lisu anajua Chama wakati Dunia nzima inaona kuwa Mbowe hajawahi kujenga chama peke yake bila Dr.Slaa , Lowasa, Sumaye na Lisu alipopigwa risasi.

Lakini pia mtu aliyetumia pesa zake bila kudai kukijenga Chama alikua ni Ndesaburo .Ndesamburo alikua anatoa pesa 'nyingi kukijenga Chama hasa ukanda wa kaskazini bila kujisifu na hakuwa na majivuno wala kuzarau wetu eti wabangaizaji!!
 
Hiyo ajenda ni yeye aliipenueza KK enzi zile nq research ilifanyika kukaonekana hakuna uwezekano wala mafanikio katika hilo. Lissu na Lema wana pa kula wengine je? Kwa ujumla moto unafukuta chini soon kutakua na mgomo mkubwa KK kuiondoa hiyo ajenda!!
Mgomo ukifanyika huko Chadema wewe inakuumiza nini? Unawashwa sana na mambo yasiyokuhusu
 
Mbombo ngafu fijoo!
Je, lipi bora kushiriki uchaguzi kwa mfumo wa sasa ambao uhakika wa kushinda ni mdogo sana au ni sawa na asilimia 0 au kuendelea kushinikiza mabadiliko na hivyo kuokoa fedha ambazo zingetumika kwenye uchaguzi ambao viashiria vipo wazi kuwa uwezekano wa kushinda ni mdogo au haupo kabisa?
 
Unasema ushenzi aliofanya, je Lissu kafanya ushenzi gani? Unaweza weka bayana ili kila mmoja aujue huo ushenzi. Naomba usikimbie wala kuzunguka, weka au sema huo ushenzi.
 
Mbowe yupo nyuma ya huu mpango. mtu mweusi ana matatizo sana.
unajenga taasisi kwa miaka 21 kisha unaibomoa kwa mikono yako mwenyewe kisa tu hukuchaguliwa kuiongoza . alitaka aongoze kwa muda gani sasa?
mbowe hukupata tabu peke yako wote tulishiriki kuiijenga chadema. ulikuwa kiongozi nasi tulikuwa wafuasi hakuna aliye na uchungu kuliko mwenziwe
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mbowe na Lisu hawaendani kwenye misimamo ya kisiasa. Hawa hawakutakiwa wawe chama kimoja.
 
We nae umetuchosha aisee anzshen chama chenu mbowe alipgwa kwa uchaguz huru na haki, lissu na heche waendelee na programs za chama hao wenzio na ww endeleen na upuuz wenu.
Chadema program yao kwa kuelemisha ni nzuri in long run lakini kuhusu kuzuia uchaguzi ni changamoto!
 
wa
Lissu kakosea wapi?. Kusimamia agenda ya chama ni kosa?. Ulitaka mwenyekiti akane maazimio ya Mkutano Mkuu ili awafurahishe?. Hakuna kitu kama hicho.
na nafasi ya ku review maazimio hayo kupitia kikao hicho hicho vinginevyo tatizo linaweza kuwa ni tafsiri tu na approach wanapishana na G55.
 
JF hapafai,ni hivyo hatuna pa kwenda. Mnaunganisha nyuzi kijinga jinga. Ukiwaandikia kuwa rekebisha spelling za heading hawafanyi, mnachokijua ni kufuta/kuunganisha nyuzi. Ngoja mpate mpinzani mtabaki peke yenu
 
Mbowe anahalalisha matumizi ya zile b12 alizovuta kipindi cha uchaguzi maana kiasi alichotumia hata m 500 haifiki.
 
Inawezekana kabisa chadema kilikuwa kimeshakuwa chama cha mfukoni kama NCCR mageuzi. Inashangaza hawa wanaotaka kugombea katika mazingia haya
 
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!
πŸ•πŸ•πŸ•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…