Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.

Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.

======

Edo Kumwembe: Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mashabiki wa Simba na Yanga, wanapenda kuambiwa wanachotaka kusikia. Mfano ukiongea positive kuhusu kitu wanakuacha, ukiongea wanachokiona wao negative wanasema usichanganye dini na siasa...

Your browser is not able to display this video.
 
Si tunapambana na na riz apa moro washatuchomea nyumba kama 200 tumpishe mwekezaji tupo bize kidogo tuache [emoji38] [emoji23] [emoji1] [emoji1787]
 
Walisema waungwana fumbo mfumbie mjinga:

Your browser is not able to display this video.


1. Hayupo anayepinga uwekezaji.

2. Hayupo anayeupinga mkataba huu kwa misingi ya udini.

3. Hayupo aliyechanganya udini kwenye kuupinga.

4. Wakemewe Kwa nguvu zote wenye kuu-unga mkono kishabiki ikiwamo kwa misingi ya uchama, udini, ukanda (ubara au uzanzibari), kujuana, jinsia, nk.
 
Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.

Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!

Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
 
Yaonyesha weye ndio mwenyetatizoo🤔😀
 

1. Si Kanisa Katoliki, KKKT nk wenye kupinga uwekezaji. Wote wanatamka hivyo.
2. Hayupo anayeupinga mkataba huu, aliyetamka anaupinga kwa sababu ya vionjo vyovyote vya dini, si wanasiasa, wala TEC.
3. Hayupo aliyechanganya udini popote kwenye kuupinga bali sababu zote zimewekwa wazi. Si LIssu, Slaa, Mwabukusi Wala Mdude.
4. Angalia wenye kuu-unga mkono:

Your browser is not able to display this video.


Ninakazia:

"Wakemewe kwa nguvu zote wenye kuu-unga mkono kishabiki ikiwamo kwa misingi ya uchama, udini, ukanda (ubara au uzanzibari), kujuana, jinsia, nk."

Wao na washirika zao, tena bIla kujali nafasi zao leo au jana katika jamii.
 
Huyo alishiriki kuwadhulumu wazanzibar uchaguzi wa 2015

Akawasaliti Masheikh waliompigania kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 , akawasweka ndani masheikh kibao nchi nzima kwa kesi za kutunga za ugaidi.

Akamwibia EL uchaguzi 2015

Halafu anakuja kujifanya eti alileta umoja wa kitaifa Zanzibar.

Kama wewe siyo mtu wa JUSTICE huna moral authority ya kuzungumzia PEACE.

Hebu atulie ale pensheni yake
 
Bado wanapumua ni kuendelea kupiga spana
 
Kama huyu aliwahi kua kiongozi wa taifa lenu nanyi mkaukubali uongozi wake, basi nchi hiyo ni jehanamu
 
Sasa kama ina mizizi mpaka chini ulitaka usikie nini? huo ndio ukweli wenyewe. ulitaka usikie nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…