The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mashabiki wa Simba na Yanga, wanapenda kuambiwa wanachotaka kusikia. Mfano ukiongea positive kuhusu kitu wanakuacha, ukiongea wanachokiona wao negative wanasema usichanganye dini na siasa...