Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Hamna aliye Kawe atupe na video live?
Hekaheka ilivyo kule, ukisika wajeda wapo wa jirani unatoka nduki hata kama upo unalitendea haki gogo lazima.ukatishe faragha uwahishe roho yako sehemu salama.

Labda mtu ajipige video akikimbia🤣
 
Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake

kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale Lugalo, imesemwa vurugu hizo zinafanywa na wanajeshi hususan MP ambapo wwnatembeza kichapo kwa kila raia wanayemkuta. Hawwjali jinsia wala hali.

Je, jeshi ni DPP na Mahakama wakati huo huo? Wananchi wanaopigwa wana mchango upi kwenye tukio ambalo inasemwa marehemu alilianzisha dhidi ya dereva wa bajaji?

Ni lini wananchi watqthibitishiwa amani ndani ya nchi yao?

View attachment 2795689

View attachment 2795690

picha hizi zinapatikana mtandao wa X kwa mtumiaji aitwaye Bartholomeo Buyobe

Vyombo vyetu vya habari kama havipo ila wanaendekeza sana habari za udaku na ujinga wa kila namna. Hata kama imetokea hayo wengine hawahusiki na hayo wanayotendewa,hii nchi inaendeshwa kwa mjibu wa Katiba na sheria,watu waishi kwaku heshimiana ili Amani idumu.

Media House za Tanzania kwa kiwango kikubwa imekuwa ikifumbia macho matukio hasi yanayofanywa na serikali na vyombo vyake dhidi ya raia. Tumeona waandishi wengi wakipata teuzi ambazo ni kama rushwa za kisiasa.

Tunashukuru JamiiForums kutupatia jukwaa la kuzungumza kwa uwazi

Tuamke
Tuzinduke
Tuiponye Tanzania

Tutajuaje hizo picha ulizotuwekea zinahusiana na tukio la wanajeshi wa kawe?!
 
Nimeshataja source. Sijaweka link lakini ukienda mtandao X fanya kusearch Bartholomew Buyobe utakuta taarifa hii na picha.

Genuine source
Jamaa hadi kachezea hivyo itakua alikua mbishi ukiwa mbishi umekwisha lazima wakufanye chakula,
 
Mimi ningekuwa RPC wa Kino..
Ningemwaga hawa wajeda wakachape hizi pumbavu za Lugalo, na kisheria nitakuwa sawa....

1698494989678.png
 
Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake

kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale Lugalo, imesemwa vurugu hizo zinafanywa na wanajeshi hususan MP ambapo wwnatembeza kichapo kwa kila raia wanayemkuta. Hawwjali jinsia wala hali.

Je, jeshi ni DPP na Mahakama wakati huo huo? Wananchi wanaopigwa wana mchango upi kwenye tukio ambalo inasemwa marehemu alilianzisha dhidi ya dereva wa bajaji?

Ni lini wananchi watqthibitishiwa amani ndani ya nchi yao?

View attachment 2795689

View attachment 2795690

picha hizi zinapatikana mtandao wa X kwa mtumiaji aitwaye Bartholomeo Buyobe

Vyombo vyetu vya habari kama havipo ila wanaendekeza sana habari za udaku na ujinga wa kila namna. Hata kama imetokea hayo wengine hawahusiki na hayo wanayotendewa,hii nchi inaendeshwa kwa mjibu wa Katiba na sheria,watu waishi kwaku heshimiana ili Amani idumu.

Media House za Tanzania kwa kiwango kikubwa imekuwa ikifumbia macho matukio hasi yanayofanywa na serikali na vyombo vyake dhidi ya raia. Tumeona waandishi wengi wakipata teuzi ambazo ni kama rushwa za kisiasa.

Tunashukuru JamiiForums kutupatia jukwaa la kuzungumza kwa uwazi

Tuamke
Tuzinduke
Tuiponye Tanzania
"Nitaanzisha kikosi kazi Cha madaktari wa ushauri nasaha na kitapita Kila familia ya wanajeshi kuangalia afya ya akili kama ipo sawa au laa! na kutoa kutoa ushauri na Tiba Ili jeshi liwapende raia na ushirikiano wa kizalendo"Mtia nia ya urais mwaka 2040!!
 
Back
Top Bottom