Hekaheka ilivyo kule, ukisika wajeda wapo wa jirani unatoka nduki hata kama upo unalitendea haki gogo lazima.ukatishe faragha uwahishe roho yako sehemu salama.Hamna aliye Kawe atupe na video live?
Wewe si mtu kambini hapo kwanini usiwahi ukachukue video, wakudake wakubebeshe mbingu, ardhi na dunia kwa pamojaHamna aliye Kawe atupe na video live?
Usiombe kukutwa na wanaoitwa MP. Huwa wamepachikwa chip kwenye mioyo yao. Wanakausha damu bila kuivujishaPita unase, utachezea mbata hadi akili ikukae sawa
Kaseme hivyo pale kawe mbele yao tena sema kwa kupayuka kabisa, alafu utakuja kutusimulia story nyingine
Sio rahisi kiivoPita wewe ukachezee mbata,
Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake
kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale Lugalo, imesemwa vurugu hizo zinafanywa na wanajeshi hususan MP ambapo wwnatembeza kichapo kwa kila raia wanayemkuta. Hawwjali jinsia wala hali.
Je, jeshi ni DPP na Mahakama wakati huo huo? Wananchi wanaopigwa wana mchango upi kwenye tukio ambalo inasemwa marehemu alilianzisha dhidi ya dereva wa bajaji?
Ni lini wananchi watqthibitishiwa amani ndani ya nchi yao?
View attachment 2795689
View attachment 2795690
picha hizi zinapatikana mtandao wa X kwa mtumiaji aitwaye Bartholomeo Buyobe
Vyombo vyetu vya habari kama havipo ila wanaendekeza sana habari za udaku na ujinga wa kila namna. Hata kama imetokea hayo wengine hawahusiki na hayo wanayotendewa,hii nchi inaendeshwa kwa mjibu wa Katiba na sheria,watu waishi kwaku heshimiana ili Amani idumu.
Media House za Tanzania kwa kiwango kikubwa imekuwa ikifumbia macho matukio hasi yanayofanywa na serikali na vyombo vyake dhidi ya raia. Tumeona waandishi wengi wakipata teuzi ambazo ni kama rushwa za kisiasa.
Tunashukuru JamiiForums kutupatia jukwaa la kuzungumza kwa uwazi
Tuamke
Tuzinduke
Tuiponye Tanzania
😆😆😆 Ndio nimemwambia jamaa anaewaponda aende pale akapayuke mbele yao alafu atatuletea simulizi nyingine akiwa analialia,Usiombe kukutwa na wanaoitwa MP. Huwa wamepachikwa chip kwenye mioyo yao. Wanakausha damu bila kuivujisha
Ukipita unaonyesha kitambulisho cha Nida tu hawakugusi 😆Sio rahisi kiivo
Hapa najiuliza wazee wa CMI hawaja spot hii issue?!Inamaana hapo Lugalo hakuna Mkuu wa Kambi?
Wanajeshi wanatokaje kambini kwenda kushambulia raia?
Mbona jeshi la polisi wameshamkamata mtuhumiwa? Hao wananchi wamekosa nini?
🥺🥺We bwana unaniponzaUkipita unaonyesha kitambulisho cha Nida tu hawakugusi 😆
Wenyewe tu kwa wenyewe askari akikutana na MP kwenye majukumu yake analia kama mtotoUsiombe kukutwa na wanaoitwa MP. Huwa wamepachikwa chip kwenye mioyo yao. Wanakausha damu bila kuivujisha
Jamaa hadi kachezea hivyo itakua alikua mbishi ukiwa mbishi umekwisha lazima wakufanye chakula,Nimeshataja source. Sijaweka link lakini ukienda mtandao X fanya kusearch Bartholomew Buyobe utakuta taarifa hii na picha.
Genuine source
Sasa unaogopa nini si ukajaribu kupita tu ushuhudie je ni kweli au unapigwa fix🥺🥺We bwana unaniponza
Nimeshataja source. Sijaweka link lakini ukienda mtandao X fanya kusearch Bartholomew Buyobe utakuta taarifa hii na picha.
Genuine source
Ndio wanaomboleza hivyo kwa hio ukitaka kupata source wahi kawe maeneo yale peleka pua wewe utakua source nzuri sana kwetuNi sawa. Lkn ku cite the authority kunasaidia sana. Kila kitu kinakuwa wazi.
"Nitaanzisha kikosi kazi Cha madaktari wa ushauri nasaha na kitapita Kila familia ya wanajeshi kuangalia afya ya akili kama ipo sawa au laa! na kutoa kutoa ushauri na Tiba Ili jeshi liwapende raia na ushirikiano wa kizalendo"Mtia nia ya urais mwaka 2040!!Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake