Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Huwezi kuita wanawake wengine malaya na wakati huna uhakika kama mke wako ana kucheat au la.

Nadhani umenipata.

Hata mke wako anaweza kupitiwa tu kama ilivyo kwa malaya.

Wewe ndio huwezi.
Sio kila Jambo usiloliweza wewe wengine hawaliwezi.

Mke, Binti au mama au Bibi au shangazi kuwa na Tabia Fulani huwazuia watu dhaifu kama wewe kushindwa kuongea ukweli kwa Sababu tunajua ninyi Beta Male mnavyofikiri, tenda na kuzungumza
 
Wanawake wasiojiheshimu wapo kwenye kila koo. Hata kwenu wapo.
Ni vile tu tunazidiana uwezo wa kufikiria mambo.

Naona na wewe ni kama yule jamaa. Wacha niwaweke kwenye kapu moja.
 
Swali unaulizwa.
Kama watu hawarithi Tabia unafikiri ni Kwa nini wanadamu hawezi kuwa Malaika? Yaani kuwa wakamilifu?
Sababu ni freewill ya maamuzi baina ya jamii za binadamu.

Ukamilifu unatengenezwa na jamii.

Mfano, tumetengeneza kuwa katika jamii, kutembea na wanaume wengi ni kosa, tukalipa jina umalaya.

Ila katika historia ya dunia hakuna jamii ambazo mwanamke kutembea na wanaume si kosa?

Sasa sisi ambao kwa freewill yetu tumeamua kuwa hili ni kosa tutawaona wale ambao kwao si kosa kuwa si wakamilifu katika hilo na wao hawawezi kuona kama ni kosa mpaka tutakapowafundisha hilo ni kosa.
Kuna Jambo tunapishana kulielewa.

Tabia IPO ya aina Mbili ambayo ni silika(nature) na hulka (nurturing)
Mazoea hujenga Tabia(hulka) na hulka hujenga Silika, wapi hupapati.
Sina tatizo na tabia hata ijenge nini.

Tatizo langu na wewe ni maamuzi ya umalaya kuwa yanarithishwa kwenye vinasaba. Hili nakataa sababu kwenye jamii tunakutana na wazazi wasio na historia ya umalaya ila watoto wana umalaya and vice versa.

Sababu ni umalaya ni maamuzi.

Nikuulize, ukikutana na shoga akasema ameumbwa hivyo na kwao hakuna mashoga uwezekano ni kuwa baba zao wana vinasaba vya ushoga ila hawakufanya maamuzi ya kuwa mashoga na yeye amerithi vinasaba na maamuzi kafanya tofauti au uwezekano ni karithi maamuzi ambayo wazazi hawajawahi kuyafanya?
 
Mwanamke Kuwa na Tabia ya Umalaya Haina Maana Amerithi Kwa Mama

Utangulizi

Katika jamii nyingi, ipo dhana potofu kwamba mwanamke anapokuwa na tabia ya uasherati au umalaya, basi ni lazima ameirithi kutoka kwa mama yake. Watu huamini kuwa tabia za mama hujirudia kwa binti zake, na hivyo kumhukumu mwanamke kutokana na historia ya familia yake. Hata hivyo, ukweli ni kwamba tabia ya mtu haipangwi na urithi wa damu peke yake bali inatokana na maamuzi binafsi, mazingira aliyokulia, na ushawishi wa jamii inayomzunguka. Hivyo basi, si sahihi kumuhukumu mwanamke kwa tabia zake kwa kudhani kuwa ni matokeo ya kile alichorithi kwa mama yake.

1. Tabia ni Matokeo ya Mazingira na Malezi

Kila mtu huzaliwa bila tabia yoyote, lakini anapokua, hujifunza kutoka kwa watu wanaomzunguka. Mazingira ya malezi yana mchango mkubwa katika kumtengeneza mtu kuwa na hulka fulani. Ikiwa mtoto anakua katika familia yenye maadili mazuri, anaweza kuwa na tabia njema hata kama jamii inamzingira vibaya. Vivyo hivyo, mtu anaweza kulelewa kwenye familia yenye maadili lakini baadaye akabadili tabia kutokana na ushawishi wa marafiki au mazingira mapya anayojikuta ndani yake.

Mifano halisi ya maisha inaonyesha kuwa kuna wanawake waliotoka katika familia zenye heshima kubwa lakini wakapotea katika tabia mbaya, na pia kuna wanawake waliokulia katika mazingira magumu lakini wakawa watu wa heshima. Hii ni ishara kwamba tabia ya mtu si lazima iwe kielelezo cha familia yake.

2. Uamuzi wa Kibinafsi na Ushawishi wa Jamii

Tabia za mtu hutokana na maamuzi yake binafsi pamoja na ushawishi wa jamii inayomzunguka. Katika dunia ya sasa, vijana wengi huathiriwa na mitandao ya kijamii, tamaduni za kigeni, na marafiki wabaya ambao huwafanya wafuate mienendo isiyofaa. Mtu anaweza kutoka kwenye familia yenye maadili mema lakini akaingia kwenye maisha yasiyo na mwelekeo mzuri kwa sababu ya ushawishi wa nje.

Kwa hiyo, si haki kusema kuwa mwanamke fulani ana tabia fulani kwa sababu ya mama yake. Kila mtu anapaswa kuwajibika kwa matendo yake mwenyewe, na si vyema kutumia historia ya familia kama kipimo cha kumhukumu mtu.

3. Dhana Potofu Kuhusu Urithi wa Tabia

Kuna tofauti kubwa kati ya kurithi vinasaba (genetics) na kujifunza tabia (social learning). Watu hurithi rangi ya macho, umbo la mwili, na sifa nyingine za kimwili kutoka kwa wazazi wao, lakini tabia ni kitu kinachojengwa na mazingira na maamuzi binafsi.

Kwa mfano, si kila mtoto wa daktari huwa daktari, wala si kila mtoto wa mhalifu huwa mhalifu. Hii inaonyesha kuwa kila mtu anaweza kuwa tofauti na familia yake. Hivyo basi, kusema kuwa mwanamke ana tabia mbaya kwa sababu mama yake alikuwa na tabia kama hiyo ni uonevu wa kijamii na upotoshaji wa ukweli.

4. Matokeo ya Kuweka Lawama kwa Mama

Katika jamii nyingi, wanawake hukumbana na lawama nyingi zinazoegemea kwenye dhana potofu. Wakati mwingine, mwanamke anapokosea, lawama haziishii kwake peke yake bali hata kwa mama yake, eti kwa sababu "amefanana naye." Hili si jambo la haki, kwani tabia ya mtu ni jukumu lake mwenyewe.

Mtazamo huu potofu unawafanya baadhi ya wanawake kukosa haki zao za msingi na kuhukumiwa kwa makosa wasiyoyafanya. Badala ya kulaumu urithi wa tabia, jamii inapaswa kujifunza kutathmini watu kwa vitendo vyao wenyewe na kuwasaidia wale waliopotoka kurejea kwenye njia sahihi.

Hitimisho

Kwa kumalizia, ni wazi kuwa tabia ya mwanamke haitokani na urithi kutoka kwa mama yake bali ni matokeo ya maamuzi binafsi na mazingira aliyokulia. Jamii inapaswa kuachana na dhana potofu ya kuwa tabia mbaya za mwanamke zinarithiwa kutoka kwa wazazi wake. Kila mtu anapaswa kuchukuliwa kwa matendo yake binafsi na si kwa historia ya familia yake. Ni muhimu kutoa nafasi kwa watu kubadilika na kuwa bora bila kuwahukumu kwa misingi isiyo na ushahidi wa kisayansi wala mantiki.

Gemini AI
 
Sababu ni freewill ya maamuzi baina ya jamii za binadamu.

Ukamilifu unatengenezwa na jamii.

Mfano, tumetengeneza kuwa katika jamii, kutembea na wanaume wengi ni kosa, tukalipa jina umalaya.

Ila katika historia ya dunia hakuna jamii ambazo mwanamke kutembea na wanaume si kosa?

Sasa sisi ambao kwa freewill yetu tumeamua kuwa hili ni kosa tutawaona wale ambao kwao si kosa kuwa si wakamilifu katika hilo na wao hawawezi kuona kama ni kosa mpaka tutakapowafundisha hilo ni kosa.

Sina tatizo na tabia hata ijenge nini.

Tatizo langu na wewe ni maamuzi ya umalaya kuwa yanarithishwa kwenye vinasaba. Hili nakataa sababu kwenye jamii tunakutana na wazazi wasio na historia ya umalaya ila watoto wana umalaya and vice versa.

Sababu ni umalaya ni maamuzi.

Nikuulize, ukikutana na shoga akasema ameumbwa hivyo na kwao hakuna mashoga uwezekano ni kuwa baba zao wana vinasaba vya ushoga ila hawakufanya maamuzi ya kuwa mashoga na yeye amerithi vinasaba na maamuzi kafanya tofauti au uwezekano ni karithi maamuzi ambayo wazazi hawajawahi kuyafanya?

Utajuaje Babaake hakuwa shoga?
Unajua haya mambo yanafanyika faraghani.
Mtu kama amefira wanaume au wanawake huyo ni shoga.
 
Wanawake wasiojiheshimu wapo kwenye kila koo. Hata kwenu wapo.
Ni vile tu tunazidiana uwezo wa kufikiria mambo.

Naona na wewe ni kama yule jamaa. Wacha niwaweke kwenye kapu moja.

Hapa tutahama. Ila kwa ufupi, Maamuzi hayarithishwi. Umalaya ni maamuzi.

Kinacho determine maamuzi ya Mtu ni kitu gani?
Maamuzi hayarithiwi ndio lakini vipi kuhusu kinacho determine maamuzi ya Mtu?

Ni Sawa na Sauti na Lugha.
Mtu anaweza asirithi Lugha lakini Sauti anarithi
 
Mchana mwema nawe MKUU.

Ila Mada IPO palepale Mtoto WA nyoka siku zote ni nyoka tuu.
IPO hivyo kihistoria, kisayansi na kiimani.

Haiwezekaniki Mama awe muadilifu, ametoka kwenye damu isiyo na rekodi ya ukahaba alafu ghafla bin Vuu Binti awe Kahaba. Hiyo haiwezekani isipokuwa exceptional
Leo Dada anajaribu kujustify kuwa kaaba au Malaya akifanikiwa ki uchumi au watoto wake wakisoma na kuwa na kazi nzuri basi maana ya kuwa kaaba ni jambo la kheri tu.
 
Kama umalaya au ukahaba ni tabia ya kurithi, na mnasema kwamba bibi zetu walijitunza na walijiheshimu, sasa hiki kizazi cha hawa wanawake kimetoka wapi
 
Mtibeli umeandika utumbo. Kuna watoto wa wachungaji ni viruka njia.. kwanini na wao wasingekuwa kama wazazi wao? Kama huna cha kuandika tulia kuliko uandike uharo.
 
Attitude ni Mtazamo
Attitude inapelekea Hulka.

Hulka inabadilika kutokana na kubadilika kwa Attitude.

Silika haibadiliki.

Silika ni tabia zilizokaa na kufanywa kwa Muda mrefu zikahifadhiwa kwenye Vinasaba.

Zingatia, mambo yote unayoyafanya yanakuwa Recoded kwenye Vinasaba.
MTAZAMO(kufundishwa,kuona,nk)-FIKRA-MATENDO/HULKA.
 
Kinacho determine maamuzi ya Mtu ni kitu gani?
Maamuzi hayarithiwi ndio lakini vipi kuhusu kinacho determine maamuzi ya Mtu?

Ni Sawa na Sauti na Lugha.
Mtu anaweza asirithi Lugha lakini Sauti anarithi
Ni sawa na kusema, ukioa mke anayejiheshimu; unakuwa na uhakika pia wa kupata mabinti wenye tabia nzuri. Kitu ambacho sio kweli.

Kiufupi, umezingua.
 
Wewe una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki ?
Kwamba unamfuatilia kila sehemu au.

Hapa duniani hakuna mke wa mtu anaweza nikataa. Ni vile sitaki dhambi tu.

Wanaume wasiokuwa na hela,dhaifu na wasiojiamini ndiyo hupenda kuchambua sana wanawake.

Mtu anaona eti akiwa na aina fulani ya mke ndiyo atapata kitu/ vitu fulani.

Stupidity!

Ndiyo mana tumetanguliwa na watu weupe kwenye mambo mengi. Kama sio yote.
Kabla Ya kujua Umri Wako Nakukataza Kama Mwanangu Wa Kukukojoa Kabisa.

Unaonekana Una Kiburi Kwa Sababu Fulani Fulani Ila Jua Kwamba Duniani Hakuna Kitu "KAMWE"Wewe Unaweza Ukakataliwa Hata Na House Girl Sio Tu Mke Wa Mtu.
Unavyojiona Sivyo Ulivyo Machoni Pa Wengine.
Na Ndio Maana Mtume Musa A.s Alipoona Yeye Anajua Kila Kitu Mungu Alimkataza Kwa Kumletea Mtu wa Kawaida Kabisa Wala Sio Mtume Kama Yeye Na Anajua Mambo Kuliko Musa.
Acha Kujikweza Dogo.
 
Hii dunia yetu wanaume katika living orgasms human specie especially male tupo daraja la juu so lazima kuwepo na double standard kama hizi
Ila baba akiwa hata na tabia chafuu zisizoelezeka anazaa vitukuu vya Yesu na mtume ibadani masaa 24🐒
Kuwa mwanamke ni kazi sana kuliko kazi yenyewe 😭😭.
 
Kinacho determine maamuzi ya Mtu ni kitu gani?
Maamuzi hayarithiwi ndio lakini vipi kuhusu kinacho determine maamuzi ya Mtu?
Maamuzi yanaweza kuwa determine na jambo lolote.

Mfano, wewe si una shida zako za fedha, na pesa si ukipita Bank unaziona? Lakini Kwanini hufanyi maamuzi ya kuvamia na kuzichukua? Na anayefanya maamuzi ya kuvamia si ana shida na hizo pesa kama wewe? Kwanini anafanya maamuzi ya kuvamia? Shida wote mnazo, pengine na tamaa ya kupata hizo pesa wote mnayo ila kuna ambaye amefanya maamuzi na kuna ambaye hakufanya.
Ni Sawa na Sauti na Lugha.
Mtu anaweza asirithi Lugha lakini Sauti anarithi
Lugha anajfunza. Kumbe tumeelewana boss.
 
Back
Top Bottom