Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Formula ya maisha na ndoa sio rahisi kiasi hiki!

Siwezi kuoa mchagga hata nipewe Bure au mahali watoe wao!

Makabila mengine yalioa Wachagga hakuna rangi hawaioni!
 
Owa Zanzibar hukawii kuingia Ikulu,hiyo mikoa mingine utaambulia tu kufungua mafremu......
 
M
Mmeshaanza maupumbavu yenu nyie wachaga, mnawashwagwa na nini kwanini msitulie? Na huo umaskini huko Rombo mbn hamtoboi na wote ni wachaga mmeoana. Acheni ulofa hiyo ni inferiority complex
Mtao madam ni danga lenye digrii na gpi ya 2 .4
 
Warangi ni nomaa utakuwa unasaidiana sana
 
Kama tulivyokubaliana kitanda hakizai haramu😂 hivyo kuwa mstahimilivu tu kikubwa mtoto awe mweupe kama mama yake tu.
 
weka sababu, mbona wasambaa wako vizuri hawana shida, Wakuguru wanashida gani kwani mzee, wanyamwezi sijui, ila Wanyiramba 50 kwa 50 hata wao kwa wao waaigopana
Msambaa ukiwa na hela ndugu zako hawatakanyaga kwako😂! Ila wakwake watakuwa wanapishana daily kuja kwa shemeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…