Ukioa mwanamke mwanaharakati utaishi kwa machungu sana kwenye ndoa

Labda TU hii dhana ya usawa watu hawaielewi.Kwangu Mimi naelewa hivi;Usawa ni Kati ya mvulana na msichana au mwanamke na mwanaume LAKINI SIO KWA mume na mke.
MKE na mume HAKUNA 50/50,mkuu.Niamini maana Mimi ni KE
 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia , watoto na makundi maalum Mhe Daktari Dorothy Gwajima akichangia bajeti ya ofisi ya PM bungeni leo hii 13/4/2023 amesema Serikali imezitaka

familia zijiimarishe kupambana mmonyoko wa maadili
Wanandoa wanagombea Mali wanazochuma na kudumaza maendeleo makuzi na malezi ya watoto.

Wanaume hawaripoti madawatu ya jinsia manyanyaso wanayopata Kutoka kwa wake zao hasa hao wengine waluojikuta wameoa wanawake wanaharakati.( Hapa nadhani Mhe Waziri hafahamu wanaume hawawezi kupeleka kesi ya mwanaharakati ikapelekwe kutatuliliwa na wanaharakati waliopo madawati ya jinsia kesi ya nyani unampelekea ngedere.

Serikali kuendeleza mikakati ya kuwatetea wanawake na watoto mpango mkakati wa kitaifa.

NASHAURI WIZARA YA MJJWM IJITAFAKARI MATOKEA YA MIKAKATI YA WIZARA YAKE KATIKA USTAWI WA JAMII ,JINSIA NA WATOTO , NASHAURI HII WIZARA IBADILISHWE IWE NI WIZARA YA MAENDELEO JAMII ,JINSIA, ,WATOTO NA MAKUNDI MAALUM

WIZARA ITOE WANAWAKE MAANA WAPO KATIKA IDARA YA JINSIA ,KUWE NA IDARA YA WATOTO ambao Sasa hivi ndio waathirika wakubwa wa mmonyoko wa maadili ,
Serikali kuona fact tu ya wanaume kukaa kimya au wanaume kujichukilia sheria mkononi na kutokuwa na mango mkakati wa kunusuru taasisi ya ndoa kuishia kuwatoa kasoro wanaume , WIZARA IJITAFAKARI UPYA HASA KATIKA MUKTADHA WA KUIMARISHA MAENDELEO YA JAMII YANALINDA TAMADUNI NA DESTURI ZETU KAMA TUNAVYOAMINISHWA KWAMBA SERIKALI INADHAMIRIA KUENZI TAMADUNI NA DESTURI ZA KITANZANIA BILA YA KUATHILIWA NA TAMADUNI ZA KIGENI AMBAZO SERIKALI HIZO ZA KIGENI KATIKA NCHI ZAO ZINAMAFUNGU YA KUTUNZA WANAWAKE NA WATOTO HATA KAMA NDOA ZITAVUNJIKA.
Serikali izimulike kwa jicho kali harakati za superwoman kama kweli serikali ina nia ya dhati kuzuia mmonyoko wa maadili na kuzuia viashiria vyote vinavyosababisha kushamiri kwa tabiaza mapenzi ya jinsia moja ,ushoga ,ulawiti ,talaka ,watoto wa mitaani ,magomvi na vifo kutokana magomvi ya changamoto za mahusioano,malezi na ndoa.
 
Hapo inategemea na akili ya mtu,kuna wanawake wanaojitambua ambapo harakati anazifanyia majukwaani lkn akirudi nyumbani ni full unyenyekevu kwa mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…