Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Umemaliza 💯Kuoa mwanamke jeuri sio kosa la mwanamke, ni kosa la mwanaume kutojitambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza 💯Kuoa mwanamke jeuri sio kosa la mwanamke, ni kosa la mwanaume kutojitambua
Majukumu yepi labdaShida sio wanawake, shida ni wanaume kutojua nafasi zao.
Majukumu yepi labda
Kama haleti na hajaleta haramu kua mpole iposikuMi wangu tangu afungue DUKA AISEH KAZI Sana!
Anajiona Anaweza kujimaliza mwenyewe!
Hadi natamani niwashe moto DUKA abaki mama wa NYUMBANI kama zamani!
Labda TU hii dhana ya usawa watu hawaielewi.Kwangu Mimi naelewa hivi;Usawa ni Kati ya mvulana na msichana au mwanamke na mwanaume LAKINI SIO KWA mume na mke.Salamu zenu wakuu Wana JF,
Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji.
Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie ndoa zinamshinda kwa harakati zake za kutaka kuwa juu ya mwanaume.
Wanawake wakikaa kwenye vikao vyao Kama malkia wanguvu, nguvu ya mwanamke na nk wanajadili jinsi ya kuwa juu ya mwanaume eti nao Wana haki zao,wanataka 50/50. Hawana hoja za maana, mbele za tv wanapeana tuzo ili tuwaone wapambanaji. Muoe Sasa utaona cha moto
Tabia za mwanamke mwanaharakati
* Wanataka haki sawa 50/50 Ila majukumu ya familia wanakimbia wanamuachia mwanaume,ni wapuuzi Sana baadhi yao ule upambanaji wao ni maneno tu na kununua vitu visivyo na msaada kwa familia.
* Wana tabia ya kuondoka au kwenda sehemu yeyote bila kumuaga mume wake akiamini anaishi kwenye kile anachokiamini haki sawa,Kuna video imesambaa Sana Instagram, facebook.jf ipo pia mwanamke ana jinadi ana haki ya kuondoka tu nyumbani bila kuaga anatoa tu taarifa na sio kumuaga mume wake ni upumbavu.
* Wanamke akishamiliki Mali zake mfano duka,nk anakuwa ana heshima kwa mume wake kisa ana weza kujisamia mwenyewe bila uwepo wa mume hapo lazima ndoa isiwe na amani, mwanamke mwanaharakati ataonesha kila aina ya dharau kwa mwanaume.
* Mwanamke mwanaharakati sio mama Bora kwenye familia kutwa nzima yupo kwenye matembezi anawatembelea wanawake wezao waliofanikiwa,wakifundishana jinsi ya kuwa juu kwa mwanaume,Wana msemo wao eti na sisi tunaweza, poor women.
* Wanawake wengine ni wafuata upepo wanasikiliza maneno ya wanawake waliofanikiwa,wanawake wengi waliofanikiwa hawapo kwenye ndoa either mjane au single mothers ndoa ilimshinda sababu ya harakati zake za haki sawa
Ndoa nyingi zenye wanawake Wana harakati hazidumu kila mwaka zinavunjika.
wanaume wanaoishi kwenye Ndoa na wanawake Wana harakati wanapitia mateso na dharau Sana, nimeshuhudia kwa macho yangu.
Mwanamke ata afanye Nini lazima ajishushe kwenye Ndoa sababu kichwa cha familia ni mwanaume.
Naomba kuwasilishaa 🙏
Kabisa mkuuLabda TU hii dhana ya usawa watu hawaielewi.Kwangu Mimi naelewa hivi;Usawa ni Kati ya mvulana na msichana au mwanamke na mwanaume LAKINI SIO KWA mume na mke.
MKE na mume HAKUNA 50/50,mkuu.Niamini maana Mimi ni KE
NakaziaNAKAZIA
Kivipi?,fafanuaShida sio wanawake, shida ni wanaume kutojua nafasi zao.