Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Wana u special gani? Naona saiz mnakuja kwa kasi kuwapigia promo.dada zenu baada ya kuwa mmeona hawana soko.

Tuko nao mtaani huku wengine ni bar maids, na wengine ni beki tatu wengine si single mothers baada ya kuwa wamekosa waume

Mchaga anaona bora awe bar maids kuliko beki3 hapa umetupiga mkuu hakuna mchaga bek3
 
Kaoe mbulu baba, oa tu
 
hebu kaeni kikao cha pamoja mkubaliane kwamba kwani nyinyi hasa mnataka nini kwa mwanamke? au mnamtaka nani?

ili wasio na vigezo wafanye ishu zingine
๐ˆ๐ฅ๐š ๐š๐ข๐ฌ๐ž ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฆ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ฉ๐จ๐ญ๐ž๐ณ๐š ๐ฆ๐›๐ฐ๐š. ๐Š๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐ ๐ž๐ณ๐จ, ๐ค๐ฐ๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ค๐š๐›๐ข๐ฅ๐š ๐ฆ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž ๐ฒ๐š๐ฌ๐ข๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐ž?
 
๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฆ๐š๐ข๐ง๐ญ๐š๐ข๐ง ๐ฌ๐ญ๐š๐ญ๐ฎ๐ฌ ๐ช๐ฎ๐จ ๐ก๐š๐ฐ๐š๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฆ๐Ÿ. ๐–๐š๐ง๐š๐ฏ๐จ ๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐š๐ ๐š ๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐ข? ๐ฆ๐š๐ฌ๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐จ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ฆ๐›๐จ๐ง๐š.....
 
๐”๐ค๐ข๐ข๐ง๐ ๐ข๐š ๐ก๐š๐ฉ๐จ ๐ฆ๐š๐ซ๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ฎ๐š ๐ฎ๐ฆ๐š๐ฅ๐š๐ฒ๐š ๐ง๐ข ๐ง๐ง
 
Huku mjini vijana wengi 20s hadi 30s mashoga ni wachagga...kiongozi mkuu ni noeli Mushi na wenzao wakina kinyaia...
Kama huamini tembelea mbezi beach...
๐‡๐š๐ฉ๐จ ๐ฎ๐ง๐š๐ค๐จ๐ฌ๐ž๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฆ๐š๐ฌ๐ก๐จ๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐จ ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ค๐จ๐ง๐š
 
Ndo narudi katika point yangu....jamii yote ni ile ile wala hakuna the best wala iliomake it...jamii zote zina uzuri na ubaya wake...
Ishu ni kutafuta mnayeendana naye na kuvumiliana...

Lakin kuhusu ushoga...Something has to be done kwa vijana wa kichaga...kile kizazi cha wapambani, watafutaji wa kichaga kinaisha kinakuja kizazi cha ovyo kilaini laini...There is no generation wealth siku hiz...ndo maana wahindi na waarabu watazidi kutupiga gap kiuchumi....

Kama unataka kuniamini tembelea mbezi beach na makumbusho...piga story na vijana wauza simu wale watakupatia story zote...
 
My friend, umegeneralise sana. Ukiwa nje ya KILIMANJARO unaona wachaga wote ni sawa lakini ndani ya mkoa wao wachaga wametofautiana sana. Wametofautiana tabia, mfumo wa maisha, uchumi, mpaka lugha zao. Hayo unayoyasema utayapata kwa baadhi ya wanawake wa kichaga wanaotoka marangu (heshima kwenye ndoa), kiuchumi utapata (Rombian na Chames girls).
Wachaga wapo kiukanda usikutane nao huko mujini ukaona wote nisawa. Unaweza usipate unachokitaka ukajuta.
 
Kuna mastar wa kazi kina jams delicious, tatizo kujifanya utafutaji kumewaponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ