Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Wanawake wa kichaga muwe na uck mwema nyie wengine lolote liwakute[emoji16]

[emoji1787][emoji23]
 
Wote nimepita nao kidogo mchaga Ila wanawake wa kikinga wana uvivu fulani kwenye kupambana wanategemea zaidi wanaume, wanawake wa kichaga ni wapambanaji haswa wanapiga mishe mpaka usiku usiku wa manane
Umeanza vizuri ila hapa[emoji116]

wanawake wa kichaga ni wapambanaji haswa wanapiga mishe mpaka usiku usiku wa manane[emoji23][emoji1787]
 
Chagga Babies.... Tupo hapa. Umewasilisha mada vizuri mno🤣😅🤭😂📌

Kila Mwenye masikio atakuwa amesikia😂🤭😅🤣📌
 
Rafiki yng hpo ukimpinga baba mkubwa juu ya ushauri wake huo, utakuja kulia nakuahd

Mm kuna dada ni mmbulu nimejuana nae ht mwezi hatuna tumekutana majuz tu send moja hp Daresalaam nishamuomba gemu tyr wala hakusita kwa kipingamz chochote hp muda wwte tu napanga nikamle kbl hajarud kwao hv karbuni

Mwenye asili kamwe haachi asili, hii falsafa Mwanzoni nilikua naipinga sn nilipokua bdo sijajitambua, Ila kwa Utu uzima huu nilioufikia huniambii kitu
 
Umeanza vizuri ila hapa[emoji116]

wanawake wa kichaga ni wapambanaji haswa wanapiga mishe mpaka usiku usiku wa manane[emoji23][emoji1787]
Hio nimeandika kwa experience wewe hujui ukilala kuna watu hawalali wanapiga kazi,
 
Kaka yangu kaoa sijui mchaga wa wapi.golikipa hatari.mvivu huyooo sijapata ona
 
Ndugu yako wa kiume akioa Mchaga mjue support toka kwake inaishia hapohapo [emoji108]

Kama alikuwa akisomesha wadogo zake au wapwa zake akishaoa ujue ndio mwisho wa msaada.

Hata wazazi kufika nyumbani kwa Mtoto wao itakuwa majaliwa [emoji108]

Jamaa ni makauzu hujapata kuona.

Mama mkwe atatiwa ila mara Mchawi mara mchafu Yaani ilimradi asikae kwa raha ilimradi akomeshwe kuzoea kwenda kukaa mwa mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…