Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Utapeli huu....Nenda ibadani kwa Kuhani Musa...
Huwa haipatikani mpaka ibadani...
Iombewe isiombewe zote zinafanya kazi uitakayo...
Fungukeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli huu....Nenda ibadani kwa Kuhani Musa...
Huwa haipatikani mpaka ibadani...
Huyo Nabii Ninamjua mwilini...
Ila hapa..... inabidi nikutane na wewe mtumishi nitest kama ni kweli ama? Na unajuaje ukoo wa mtu?Ninayo macho ya Rohoni na ya mwilini yaani hata wewe nikikaa na wewe Leo nakujua mpaka ukoo wako wote ..
Huyo Nabii Ninamjua mwilini na Rohoni
Hakuna nabii wa kweli zama hizi utapeli mtupuTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Sio wote tunaweza kuombea kuna walipewa hiyo Karama...Utapeli huu....
Iombewe isiombewe zote zinafanya kazi uitakayo...
Fungukeni.
Maswali mengine aisee, kumjua mtu mpaka ulale naye mkuu?Ulishawahi kulala naye? [emoji15][emoji15][emoji15]
Usimjibu Mpumbavu sawasawa na upumbavu wake...asije akajisifuUlishawahi kulala naye? [emoji15][emoji15][emoji15]
Sio lazima iombewe hata wewe unayo nguvu hioTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Ushuhuda huu hapa...Nimeambiwa hili jambo jana na mama kwa simu na leo nimelikuta humu, em tupe ushuhuda kwa uchache nijifunze kitu
Kama matapeli wapo kwann wa kweli wasiwepoHakuna nabii wa kweli zama hizi utapeli mtupu
Naam nipo na wewe sambamba🔞Ninayo macho ya Rohoni na ya mwilini yaani hata wewe nikikaa na wewe Leo nakujua mpaka ukoo wako wote ..
Huyo Nabii Ninamjua mwilini na Rohoni
Wherever are the false prophets, there is a true prophet. Uko sahihiKama matapeli wapo kwann wa kweli wasiwepo
Ni ubaya gani huo kakutendea mpaka kumrudisha?Huna akili ww,kuna nabii au tapeli tu
Kama ni manabii wa kweli waende hospital watu kibao wana matatizo tuone hospital zikibaki tupu.Kama matapeli wapo kwann wa kweli wasiwepo
Glands au kwa kiswahili ni tezi na mwanadamu huwa ana tezi 7Tuelezee kwa mapana mkuu..Chakra ni nini hasa
Hata kama ni nabii wa uongo wapo wanaokolewa nao huwezi ondoa magugu kwenye ngano utaondoa ngano ukidhani ni magugu,acha ngano na magugu vimee pamoja.Wherever are the false prophets, there is a true prophet. Uko sahihi
Ukishaelewa unifundishe na mie, niondoe gunduKuogea ni kwa muda gani kaka mkubwa