Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Chumvi ya mawe
Hizo za manabii ni biashara tu japo kama Imani yako inakupeleka huko basi fuata hiyo.
Mimi nainunua sokoni ipo ndani ya kutosha tu naogea na niko Safi tu.
Aliloandika mwenye uzi huu lipo sahihi kabisa japo mimi sikuliona kwa namna hiyo katika matumizi yangu ya chumvi ya mawe
 
Mambo ni mengi sana ukijizoesha pia kutembea peku kukanyaga udogo itakusaidia pia.
kutembea peku kunafaida gani maana hii Siri wanaijua wachache akiwemo mrisho mpoto,Kuna siku ata Kanye west alionekana anatembea peku,ila Kwa uelewa wangu mdogo nahisi ardhi Ina absorb positive energy zilizo Kwa binadamu anapotembea peke,maana tuliumbwa Kwa mavumbi na mavumbini tutarudi
 
Nilisikia kwa bwana mmoja akisema kwa nadharia zake zisizo thibitishwa kuwa kutembea peku walau kidogo kunaondoa electrones zinazo exceed mwilini. Mimi sio mtaalamu ila alianza kwa kusema "mwili unatumia umeme kufanya kazi zake kusafirisha taarifa kutoka kwenye ubongo kwenda maeneo mengine ili tu sense vitu sasa umeme uzalishwao kuna kuzidi kinachozidi kinabidi kitolewe kwa kutumia mgusano wetu na ardhi akamaliza kwa kusema magonjwa yasioambukiza yana sababu ambazo azieleweki yeye anaamini kuvaa viatu muda wote wa maisha ya mwanadamu kunaleta shida inayosababishwa na izo extra energies kutotolewa .
 
Kwa hili la chumvi nimejifunza hata Dodoma ndio maji tunayotumia kuongea na kunywa naamini kwa chumvi hii ndio imetufungulia serikali kuhamia apa,soko la ndugai,stand mji wa kiserikali na sasa uwanja wa mpira
 
Back
Top Bottom