Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

kutembea peku kunafaida gani maana hii Siri wanaijua wachache akiwemo mrisho mpoto,Kuna siku ata Kanye west alionekana anatembea peku,ila Kwa uelewa wangu mdogo nahisi ardhi Ina absorb positive energy zilizo Kwa binadamu anapotembea peke,maana tuliumbwa Kwa mavumbi na mavumbini tutarudi
Ni soma pana sana sema linahitaji uzi kbsa.
 
Chumvi ya mawe
Hizo za manabii ni biashara tu japo kama Imani yako inakupeleka huko basi fuata hiyo.
Mimi nainunua sokoni ipo ndani ya kutosha tu naongea na jiko Safi tu.
Aliloandika mwenye uzi huu lipo sahihi kabisa japo mimi sikuliona kwa namna hiyo katika matumizi yangu ya chumvi ya mawe
Wewe uliliona kwa namna ipi mkuu?
 
Wanazuoni wanadai ili upate matokeo azuri tumia chumvi ya mawe ambayo haijagushiwa...isiwe imechakatwa kiwandani.

Wanaongeze pia, nzuri zaidi ni ile ya rangi ya pink inayotoka milima ya Himalayan.....almaarufu Himalayan salt. Hii huchimbwa kwenye miamba ya milima tofauti na tulizozizoe za kwenye bahari na sehemu nyingine.

Chumvi na maji zikiungana zinatengeneza kitu kikubwa katika ulimwengu wa roho, ni element ambazo hazina mbadala (alternative). Hakuna mbadala wa chumvi na maji kwenye matumizi yake.

Kazi za chumvi kikawaida ni hizi, kutunza (hutunzia vitu km nyama visiharibike), kutia ladha, kutakasa/kusafisha. Sasa unpoitumia lazima unuie...kwa maneno yetu tunaumba.

Ewe chumvi uliyeumbwa toka asilia ya dunia ilipoanza, kama utunzapo vitu....itunze nyota yangu...,., kama utakasapo vitu....takasa mwili na nyota yangu....nuia kwa kumaanisha.
 
Back
Top Bottom