Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Kwanini humuamini?

Zipimeni Roho...

Mmeambiwa...

Msifuate mikumbo kwa watu walisema...
Kuna FUNDISHO Moja nimelisahau liko kinyume kabisa na Biblia na alifundisha kanisani pale watu wanapiga makofi. Biblia nimeanza kuisoma nikiwa mdogo sana so mi mtumishi wa kweli wa Mungu nampimia hapo,kuna watu kama Mwakasege haendi kinyume na Maandiko, Moses Kulola nae ni hivyohivyo, niliwahi msikiliza, anaenda mulemule.
 
Tena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Mimi sio wakiroho sana au mkristo sana kuliko yesu mwenyewe au pail lakini kiukwlei sijawahi kuwa na amani ya moyoni nikianza kusikia kwa watumishi mambo ya kuogea chumvi nasema tena sijawahi kuwa na amani sasa sijui nafsi inanidanganya au hii ibada roho haitaki?
 
Kuna FUNDISHO Moja nimelisahau liko kinyume kabisa na Biblia na alifundisha kanisani pale watu wanapiga makofi. Biblia nimeanza kuisoma nikiwa mdogo sana so mi mtumishi wa kweli wa Mungu nampimia hapo,kuna watu kama Mwakasege haendi kinyume na Maandiko, Moses Kulola nae ni hivyohivyo, niliwahi msikiliza, anaenda mulemule.
Makini sana hawa watu wanakupa kitu unaelewa nini, kipi, wapi, lini na nani..Mungu aliyehai Azidi kumtumia Mzee mwakasege
 
Kuna mengi nlikua siyajui kumbe
Ndio ila Damu ya Yesu na Jina la Yesu ni bora zaidi kuliko chumvi ya Mawe.

1 Samweli 17:45
[45]Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
Then said David to the Philistine, Thou comest to me with a sword, and with a spear, and with a shield: but I come to thee in the name of the LORD of hosts, the God of the armies of Israel, whom thou hast defied.

Daudi alimjia Goliati kwa jina la Mungu(YHWH) na akamshinda Goliati na miungu yake kwenye ulimwengu wa roho na mwili.

Jina la Yesu maana yake ni YHWH anaokoa.
 
Ndio ila Damu ya Yesu na Jina la Yesu ni bora zaidi kuliko chumvi ya Mawe.

1 Samweli 17:45
[45]Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
Then said David to the Philistine, Thou comest to me with a sword, and with a spear, and with a shield: but I come to thee in the name of the LORD of hosts, the God of the armies of Israel, whom thou hast defied.
Asante kwa neno zuri kiongozi
 
Daaaaaaaaah, nimehakikisha hii kitu practically jaman leo nimesoma huu uzi ndo nikakumbuka nlinunua kilo moja nimekuwa naogea kila siku baadae nikaacha ila kuna jambo limenitokea maishani mwangu sikutegemea litokee na nimeungwa mkono na hata watu ambao nlikuwa na uadui nao.
 
Back
Top Bottom