Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kuogea? IkakusaidiajeTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Huna akili ww,kuna nabii au tapeli tuTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Awe mwamposaTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Nimeogea na nikaona mengi zaidi ya hiyo amani ..Umewahi kuogea? Ikakusaidiaje
Siku utakapogundua alicho nacho huyo unae mwita nabii wa kwel kila mtu anacho , utakua umechelewa sana na yeye atakua kesha tajirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Kuogea ni kwa muda gani kaka mkubwa
Ninayo macho ya Rohoni na ya mwilini yaani hata wewe nikikaa na wewe Leo nakujua mpaka ukoo wako wote ..Siku utakapogundua alicho nacho huyo unae mwita nabii wa kwel kila mtu anacho , utakua umechelewa sana na yeye atakua kesha tajirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh,ndo yupi huyoTena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Tuelezee kwa mapana mkuu..Chakra ni nini hasaChumvi ya mawe huwa inaamsha nishati na kuibalance na kufungua chakra zilizojifunga hii nilipoitumia mwaka 2019 at the first time nilianza Kupata matokeo makubwa in my life's path
Kuhani na Mwalimu MusaDuh,ndo yupi huyo
Asante mkuu
Nimeambiwa hili jambo jana na mama kwa simu na leo nimelikuta humu, em tupe ushuhuda kwa uchache nijifunze kituNimeogea na nikaona mengi zaidi ya hiyo amani ..