Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 417
Unapokuwa msaidizi maana yake unapangiwa majukumu na aliyekuteua. Sasa kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia jikoni, baki jikoni. Kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia kwenda kutafta, nenda katafte. Hutaki kataa uteuzi baki kwa wazazi wakoImeandikwa kwenye biblia, Adam anaambiwa "nitakufanyia (nitakuumbia) msaidizi (siyo mtumwa).
Maana ya neno msaidizi.
TuKI: mtu atoaye msaada kwa aliyelemewa.
🤣🤣🤣🤣Iko wapi?
Napenda nioe Manzi ambaye hana mama mwenye akili kama zakoNchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.
Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Hahahah waongopee wenzio tu 🤣Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iko wapi?
Hata kama alikukuta ukiwa barmaid au changudoa, usiache uendelee?Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Wewe ni dini gani? Nimekuuliza nina maana yanguWanaokuponda wote hawajaoa, upo sahihi kabisa mtoa mada, kama mume hawezi kuzifanya hizo kazi basi aweke kijakazi amlipe.
Kutawala katawale wanyama huko.Unajua maananya kutawaliwa lakini.
Siyo kwa zama hizi. Kuwa superwoman ndiyo fashion siku hizi. Financial independence kwa wanawake ndiyo ndoto kuu.Hizo kazi ulizotaja sio adhabu bali ndio raha za kuwa mke au ndio ufahari wa kuwa mke Mfano:- mwanamke ambae hajaolewa umri umeenda akisikia mwanamke mwenzie hasa wa umri wake walicheza wote "Leo kachelewa anasema anamfulia nguo mmewe" huyu mwanamke ambae hajaolewa kauli hio lazima impige kisaikolojia na ata wish japo na yeye ampate atakayempa nafasi tu ya kumfulia nguo na kufagia chumba chake moyo utulie.
Hizo ni starehe kwa mwanamke ukiziona adhabu wewe sio mwanamke
Utamapata wapi karne hii. Rudisha miaka nyuma ili uishi karne ya 19 ndiyo utawapata.Napenda nioe Manzi ambaye hana mama mwenye akili kama zako
Siongelei upande wa mambo machafu. Naongelea mambo ya michakato halali ya kimaisha.Hata kama alikukuta ukiwa barmaid au changudoa, usiache uendelee?
Dada yangu mmachame mwenzangu huyu analeta "upalestina wake" kwenye ndoa so anafundisha na wengine. Wadada kuweni makini na hawa "motivational speaker" wa kimachame na kichaga kwa ujumla. Huyu nahisi ni Joyce Karia.Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Joyce Kiria kwenda mbali zaidi, kasema yeye kazi za ndani (kufua, kupika, kusafisha nyumba) hazipendi na hataki kuzifanya.Dada yangu mmachame mwenzangu huyu analeta "upalestina wake" kwenye ndoa so anafundisha na wengine. Wadada kuweni makini na hawa "motivational speaker" wa kimachame na kichaga kwa ujumla. Huyu nahisi ni Joyce Karia.
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ndio maana hajawahi kukaa na mwanaume na analia lia kila mara kuhusu watoto wake kutokuwa na Baba. Hakuna mwanaume chini ya jua atakayefanya hivyo. Hata huyu wa sasa anayeishi naye inaonekana hana akili kwani hakuna mwanaume duniani tena rijali anayechoma(Bleach) nywele. Anawadanganya huyo.Joyce Kiria kwenda mbali zaidi, kasema yeye kazi za ndani (kufua, kupika, kusafisha nyumba) hazipendi na hataki kuzifanya.
Kwahiyo huyu hata hiyo ya kupangiana ratiba kama wazungu hataki.