Eeeh si wanakamatana Kama digi-digi.Na Ulaya hakuna mahari.
Ushasema UlayaAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.
Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Sasa mahari maana yake si kununua tu, hakuna shukrani unakuta mtu sio bikra unapigwa mil.6, sasa kwanini asikupikie au kufanya kazi kama mwanamke? Au na yeye ni mwanaume?kumbe ulimununua kama mtumwa? Duh!
Msimbe kaziniAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Wewe mtoa mada hauna jinsia alafu eti unawashauri wanawake wenye jinsia yao. Akina dada ogopeni ushauri mnaopewa na mashoga na wasagaji[emoji3]Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Si ndo mpaka aolewe sasa? [emoji38][emoji38] Wanaume tushasema tunapambana na kampeni yetu ya kuacha kuoa.Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu wanadanganyana sana, siku hizi ndoa ni paradiso hakuna mateso tena, ukiolewa sio mfanya kazi ni pambo la nyumba kazi mnasaidiana.Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.
Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Duuh kaaz kwel kwelSasa ameolewa Ili iweje?
Yaani unatoa mahari 3.5-5 million hakupikii, hakufulii nguo, kazi yake ni kutoa hilo tunda la katikati, sasa ana tofauti Gani na kahaba anayejiuza?
Labda kama mahari haipo.
Watu wazima (wabibi) mnajulikana kwa comments zenuEndelea kutupotosha tuendelee kubaki home bila ndoa.
Raha ya mke amhudumie mume wake kadri inavyowezekana.
πππ ndiyo mimi ni kibibi Financial sumbai mjukuu wangu njooWatu wazima (wabibi) mnajulikana kwa comments zenu