Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

Katika kitabu cha Mithali, hasa sura za mwanzo, kuna mafundisho mengi yanayoonya dhidi ya mwanamke mzinifu au kahaba. Hapa chini nimekuletea muhtasari wa maandiko hayo:

---

🕊 1. Mithali 5:3-5

"Maana midomo ya mwanamke mgeni (mzinifu) humiminika asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kama pakanga, Mkali kama upanga ukatao kuwili. Miguu yake hushuka mautini; Hatua zake hushika kuzimu."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu huonekana mtamu na wa kupendeza mwanzoni, lakini matokeo yake ni maumivu na uharibifu wa roho na mwili.

---

🕊 2. Mithali 6:24-26

"Ili kukulinda na mwanamke mwovu, Na uonevu wa ulimi wa mwanamke mgeni. Usitamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikamatwe na kope za macho yake. Maana kwa sababu ya mwanamke kahaba mtu hufikishwa kwenye kipande cha mkate, Na mzinifu humvua mtu thamani yake ya uhai."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu anaweza kumuangamiza mwanaume na kumfanya kupoteza mali na heshima yake yote.

---

🕊 3. Mithali 7 (sura nzima)

Sura hii inaeleza kwa kina kuhusu mwanamke mzinifu. Inamwelezea kama:

Mwenye mavazi ya uasherati na moyo wa hila.

Humpindua kijana kwa maneno matamu na kumbembeleza mpaka akae naye, bila kujua anaenda kwenye mauti.

🔹 Mstari muhimu (Mithali 7:25-27): "Moyo wako usigeuke kwenda njia zake, Wala usipotoke kwenda mapito yake. Kwa maana amewaangusha wengi waliojeruhiwa, Naam, watu wengi wenye nguvu wameuawa naye. Nyumba yake ni njia ya kuzimu, Ikishuka mpaka vyumba vya mauti."

---

🕊 4. Mithali 23:27-28

"Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na mwanamke mgeni ni shimo nyembamba. Naam, yeye huotea kama mnyang'anyi, Na huongeza wasio waaminifu miongoni mwa wanadamu."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu ni kama shimo la mauti – mtu akiingia kwake ni vigumu kutoka bila maumivu na hasara.

---

💡 Ujumbe wa Mithali kuhusu mwanamke mzinifu:

Hutumia maneno matamu na mwonekano wa kuvutia kumvuta mtu.

Huchukua nguvu, muda, mali, na hata afya za mwanaume.

Mwisho wa uzinzi ni mauti ya kiroho na wakati mwingine kimwili.

---
 
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!

02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke wako alikuwa hajui tofauti ya Rexona na Chanel No. 5, lakini siku hizi anapulizia harufu za kifalme hadi mbwa mtaani wanamsindikiza. Shtuka, kuna mtu lazima anamsaidia kuzinunua!

03. Simu yake janja akiiacha chumbani, akaenda jikoni, iguse hiyo simu. Ukiigusa tu, inalia alarm kama bomu la nuclear kutoka Iran na kumshtua. Anakuja mbio maana hapendi mtu mwingine aiguse, kwa kuwa ameficha picha zake za siri na bwana arusi wake mpya! Na kuifungua simu hiyo huwezi kwa sababu password yake inachunguza kwanza DNA!

04. Kwa muda wa miezi mitatu hajakuomba hela ya kusuka nywele. Badala yake anasema, “Ah siku hizi nimetulia, sihangaiki na mambo ya dunia, yanapita.” Hapo ujue kuna mtu mwingine anatuliza moyo wake kwa mapesa.

Sikiliza ndugu yangu, wewe unayeiba wake za watu kwa mbinu yoyote ile. Hata kama hatukuoni, tambua kuwa macho ya Mungu yanakuona popote pale ulipo. Hata ukijificha kwenye bomb shelters kama za Waisraeli, Mungu anakuona hukohuko mafichoni. Tubu dhambi haraka vinginevyo adhabu ya moto wa milele inakusubiri, kwa sababu ya wizi na uzinzi wako.

Wewe pia mke unayechepuka, huna udhuru. Uzinzi ni uzinzi tu hata kama unaupaka mafuta na kuuita: "mapenzi au mahusiano." Tubu, Yesu yuaja upesi.

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.." (1 Wakorintho 6:9-10)
Ukiona anatoka na kimkoba kwapa ujue ameweka kanga ya kujifunika anapoingia mafichoni na kujifunga anapokwenda kuoga
 
Vip lkn upendo wangu jamani
 
Have you given yourself a gift this week?
Oh yes, my old friend, Nomadix
I gave myself the best gift ever this week: more time in the presence of the Lord! No chocolate can top that, no shopping bag beats that joy. His Word is my treat, His peace is my luxury, and His love? Well, that’s the gift that keeps on giving!
 
Katika kitabu cha Mithali, hasa sura za mwanzo, kuna mafundisho mengi yanayoonya dhidi ya mwanamke mzinifu au kahaba. Hapa chini nimekuletea muhtasari wa maandiko hayo:

---

🕊 1. Mithali 5:3-5

"Maana midomo ya mwanamke mgeni (mzinifu) humiminika asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kama pakanga, Mkali kama upanga ukatao kuwili. Miguu yake hushuka mautini; Hatua zake hushika kuzimu."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu huonekana mtamu na wa kupendeza mwanzoni, lakini matokeo yake ni maumivu na uharibifu wa roho na mwili.

---

🕊 2. Mithali 6:24-26

"Ili kukulinda na mwanamke mwovu, Na uonevu wa ulimi wa mwanamke mgeni. Usitamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikamatwe na kope za macho yake. Maana kwa sababu ya mwanamke kahaba mtu hufikishwa kwenye kipande cha mkate, Na mzinifu humvua mtu thamani yake ya uhai."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu anaweza kumuangamiza mwanaume na kumfanya kupoteza mali na heshima yake yote.

---

🕊 3. Mithali 7 (sura nzima)

Sura hii inaeleza kwa kina kuhusu mwanamke mzinifu. Inamwelezea kama:

Mwenye mavazi ya uasherati na moyo wa hila.

Humpindua kijana kwa maneno matamu na kumbembeleza mpaka akae naye, bila kujua anaenda kwenye mauti.

🔹 Mstari muhimu (Mithali 7:25-27): "Moyo wako usigeuke kwenda njia zake, Wala usipotoke kwenda mapito yake. Kwa maana amewaangusha wengi waliojeruhiwa, Naam, watu wengi wenye nguvu wameuawa naye. Nyumba yake ni njia ya kuzimu, Ikishuka mpaka vyumba vya mauti."

---

🕊 4. Mithali 23:27-28

"Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na mwanamke mgeni ni shimo nyembamba. Naam, yeye huotea kama mnyang'anyi, Na huongeza wasio waaminifu miongoni mwa wanadamu."

🔹 Maana yake: Mwanamke mzinifu ni kama shimo la mauti – mtu akiingia kwake ni vigumu kutoka bila maumivu na hasara.

---

💡 Ujumbe wa Mithali kuhusu mwanamke mzinifu:

Hutumia maneno matamu na mwonekano wa kuvutia kumvuta mtu.

Huchukua nguvu, muda, mali, na hata afya za mwanaume.

Mwisho wa uzinzi ni mauti ya kiroho na wakati mwingine kimwili.

---
Sasa Suleiman mtu wa Mungu hakuyaona haya?
 
Uko sawa mkuu, ushahidi ni muhimu. Lakini hakuna jambo jipya chini ya jua. Mbinu za michepuko ni marudio tu. Hivyo ukiona dalili kama hizo, kumbuka: "lisemwalo lipo. Kama halipo, laja." Ila usihukumu bila ushahidi. Ukipiga, ukiua, jehanam inakuhusu.
Sio kweli tunapo ongelea tabia za watu tofauti tofauti au matendo ya watu kwa kujiweka hivyo tunaweza kuzuwa upotoshaji kwenye jamii. unakuta tabia hii huyu ndio anayotumia kuchepuka na kwa mtu mwengine anaitumia kwa kuepuka kuchepuka.

Kwahiyo tusijifunge akili bali tuwe na mtizamo chanya tusije tukafanya makosa kwa kuvunja ndoa za watu bila sababu za msingi.
 
Wapo wanamke wanaliwa na chembe ya dalili hawoneshi...

Ukiona mwanamke anaonesha dalili ujue kachoka kuwa na mwanaume aliyenaye, na anafanya makusudi kuumiza hisia za mwanaume...
Akishaachika utamani tena kurudia matapishi but huwa anakuwa ashafungiwa mlango tena wa tena, anakuwa single mama au lishangazi mjini akiishi maisha ya majuto.
Ndoa kazi huwa havitaki mazoea kabisa
 
Vip lkn upendo wangu jamani
Dume Jembe sikukujibu kwa sababu ulisema unanipenda upendo wa Eros. Huo upendo ni mzuri unapokuwa ndani ya mipaka ya ki-Mungu. Vinginevyo ni upendo wa zinaa 100%. Mimi nakupenda upendo wa Agape. Huoni navyohangaika mchana na usiku kukuletea chakula cha uzima?
 
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!

02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke wako alikuwa hajui tofauti ya Rexona na Chanel No. 5, lakini siku hizi anapulizia harufu za kifalme hadi mbwa mtaani wanamsindikiza. Shtuka, kuna mtu lazima anamsaidia kuzinunua!

03. Simu yake janja akiiacha chumbani, akaenda jikoni, iguse hiyo simu. Ukiigusa tu, inalia alarm kama bomu la nuclear kutoka Iran na kumshtua. Anakuja mbio maana hapendi mtu mwingine aiguse, kwa kuwa ameficha picha zake za siri na bwana arusi wake mpya! Na kuifungua simu hiyo huwezi kwa sababu password yake inachunguza kwanza DNA!

04. Kwa muda wa miezi mitatu hajakuomba hela ya kusuka nywele. Badala yake anasema, “Ah siku hizi nimetulia, sihangaiki na mambo ya dunia, yanapita.” Hapo ujue kuna mtu mwingine anatuliza moyo wake kwa mapesa.

Sikiliza ndugu yangu, wewe unayeiba wake za watu kwa mbinu yoyote ile. Hata kama hatukuoni, tambua kuwa macho ya Mungu yanakuona popote pale ulipo. Hata ukijificha kwenye bomb shelters kama za Waisraeli, Mungu anakuona hukohuko mafichoni. Tubu dhambi haraka vinginevyo adhabu ya moto wa milele inakusubiri, kwa sababu ya wizi na uzinzi wako.

Wewe pia mke unayechepuka, huna udhuru. Uzinzi ni uzinzi tu hata kama unaupaka mafuta na kuuita: "mapenzi au mahusiano." Tubu, Yesu yuaja upesi.

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.." (1 Wakorintho 6:9-10)
Ukiona anaongeaongea anajisemeshasemesha baada ya kurudi jua tayari umebaki na manyoya
 
1751738435751.jpeg
 
Watumishi huwa ninawaaminia sana kwa kuyajua mambo ya ndani kuliko hata sisi watu wa kawaida. Ila mkiwa mbele za watu, ni Bwana Asifiwe tu kwa kwenda mbele.
 
Dume Jembe sikukujibu kwa sababu ulisema unanipenda upendo wa Eros. Huo upendo ni mzuri unapokuwa ndani ya mipaka ya ki-Mungu. Vinginevyo ni upendo wa zinaa 100%. Mimi nakupenda upendo wa Agape. Huoni navyohangaika mchana na usiku kukuletea chakula cha uzima?
Kwa hiyo sipo katika mipaka ya kimungu au
 
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!

02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke wako alikuwa hajui tofauti ya Rexona na Chanel No. 5, lakini siku hizi anapulizia harufu za kifalme hadi mbwa mtaani wanamsindikiza. Shtuka, kuna mtu lazima anamsaidia kuzinunua!

03. Simu yake janja akiiacha chumbani, akaenda jikoni, iguse hiyo simu. Ukiigusa tu, inalia alarm kama bomu la nuclear kutoka Iran na kumshtua. Anakuja mbio maana hapendi mtu mwingine aiguse, kwa kuwa ameficha picha zake za siri na bwana arusi wake mpya! Na kuifungua simu hiyo huwezi kwa sababu password yake inachunguza kwanza DNA!

04. Kwa muda wa miezi mitatu hajakuomba hela ya kusuka nywele. Badala yake anasema, “Ah siku hizi nimetulia, sihangaiki na mambo ya dunia, yanapita.” Hapo ujue kuna mtu mwingine anatuliza moyo wake kwa mapesa.

Sikiliza ndugu yangu, wewe unayeiba wake za watu kwa mbinu yoyote ile. Hata kama hatukuoni, tambua kuwa macho ya Mungu yanakuona popote pale ulipo. Hata ukijificha kwenye bomb shelters kama za Waisraeli, Mungu anakuona hukohuko mafichoni. Tubu dhambi haraka vinginevyo adhabu ya moto wa milele inakusubiri, kwa sababu ya wizi na uzinzi wako.

Wewe pia mke unayechepuka, huna udhuru. Uzinzi ni uzinzi tu hata kama unaupaka mafuta na kuuita: "mapenzi au mahusiano." Tubu, Yesu yuaja upesi.

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.." (1 Wakorintho 6:9-10)
Dalili za kutukumbusha zingebaki za kurudi kwa Kristo wa Nazareth tu, hizi zingine hazitusaidii we kwa akili yako Unaamini mtu mzima anaibiwa?
 
Back
Top Bottom