Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

Nauliza hiyo namba tatu program ya kutegeshea bomu
 
Huo muda wote wa kuwaza mke kafanya nn mnautoa wp? Ni nani awezaye mlinda mwanamke wake asipigwe bomba yy mke akiamua? Jibu hakuna

Play part yako mwanaume mengine achana nayo, kama ss vidume tunavyotembeza jando huko nje wacha nao watembeze pusy.
 
Mind free zone itakusaidia!!

Usiongeze file Kwa brain has la mtu!

Ishi maisha yako and enjoy!
 
Dalili za kutukumbusha zingebaki za kurudi kwa Kristo wa Nazareth tu, hizi zingine hazitusaidii we kwa akili yako Unaamini mtu mzima anaibiwa?
Asante Certified Hater
Dah, ila jina lako hilo. Certified Hater?
Anyway, ngoja nijibu hoja yako. Kuiba ni kuchukua kitu ambacho sio mali yako. Mke wako ni wa kwako tu. Sasa kama mke wako amehamishia hisia zake kwa mume mwingine, hajaibiwa tu hapo?

Hata hivyo uzi huu bado unatukumbusha umuhimu wa kutubu dhambi kabla ya ujio wa Yesu Kristo, kwakuwa Yesu atakaporudi atawachukua watakatifu tu. Wazinzi wataachwa na kubaki kwenye dhiki kuu.
 
Samahani madam, hivi ukiwa na mbwa kisha huyo mbwa akahamia kwa jirani, ni jirani ndo mwizi au mbwa wako ndo kahama. Mana suala la mwanamke kuhamisha hisia zake mwenyewe unasemaje kaibiwa?

Ukiishi maisha yako bila kujipa ya mwingine uta-enjoy sana
 
Samahani madam, hivi ukiwa na mbwa kisha huyo mbwa akahamia kwa jirani, ni jirani ndo mwizi au mbwa wako ndo kahama. Mana suala la mwanamke kuhamisha hisia zake mwenyewe unasemaje kaibiwa?

Ukiishi maisha yako bila kujipa ya mwingine uta-enjoy sana
Asante Smooth Criminal
Duh, ila na wewe jina lako linatisha bwana! Smooth Criminal?
Sawa, usijali. Ni chaguo lako!
Hebu jiiulize kilichomfanya mbwa wako akahamia kwa jirani ni nini? Ni wazi kwa jirani anapewa nyama nyingi. Huyo mbwa kama angekuwa anafukuzwa akifika tu kwa jirani angehamia? Hivyo jirani ni mwizi kwa sababu amemshawishi mbwa wako ahamie kwake kwa kumpa nyama nyingi. Hapo vipi?
 
Kwahyo nihangaike kumpa nyama nyingi ili asihame? Mbwa anayejua ni wako hata apewe nyama nyingi kiasi gani hawezi kuhama kisa nyama za nje

Siwezi kuhangaika kila muda kujiuliza mbwa wangu anapungukiwa wapi nimridhishe asijekuondoka, mbona ni aina ya maisha magumu sana.
 
Umesema Kuiba ni kuchukua kitu sawa sawa. Sasa binadamu ni kitu?
Kumbuka Katika kiingereza pronoun ingetumika It hebu fikiria tena.
Sio kwa hayo lakini, Mimi msingi ni kuuliza mtu (mzima) anaibwa?
 
Jana nilichoambiwa na mke wa mtu aliyekuwa ananichangamkia sana kilinishangaza, kweli huko ndoani kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…