Hili nakuunga mkono .Ndoa inaendeshwa kitaasisi, sheria na kanuni. Mapenzi ni kichocheo tuu. Kidunchu.
Ukiendekeza mapenzi kwenye ndoa lazima mwanaume ufeli mapema tuu.
Uchagani watu wakila mchicha na samaki wamefulia mtani , kila kitongoji kina mabucha ya nyama zaidi ya matano mtani 😅
Ukiogelea kwenye swimming pool ni tofauti sana na kuogelea kwenye bahari yenye kina na mawimbi. Ufahamu wako ni finyu kwenye hili.
HahahaMadogo bado hamjayajua maisha omba ya sikukute bwashee. Karibu bia .
Ukiona mtu haelewi ulichoandika ujue sio mwanaume, either mvulana au mwanamke. Mtibeli uko sahihi.
Bibi yangu mzaa baba yupo ana 114 yeye janabi anayo ngapi ili nifanye tathimini bwashee?Makande, ndio mpango mzima.
Nyama na pombe sio nzuri, Janabi anasema
Ishi na mwanamke kwa akili. Pia usioe mwanamke mpumbavu.
Maisha hayana mwongozo mkuu , kuna kupanda na kushuka.Kuna baadhi ya maeneo wanaume tunakimbiaga ukweli.
Ni kama Adamu alipofeli Kwa kumsikiliza Eva.
Bibi yangu mzaa baba yupo ana 114 yeye janabi anayo ngapi ili nifanye tathimini bwashee?
Leo familia ya Diego jota ikiyumba kwamba ni mwanaume hakuwa strong? Kumbuka alikua dogo sna wa 29 tuKweli!
Hata ikitokea umeoa Kwa bahati mbaya. Mpe talaka.
cha ajabu SIMPS WA JF Wamekasirika kuambiwa wao sio wanaume kamili.
📍MWANAUME KOSEA KAZI,KOSEA KUJENGA,FELI DARASANI,KOSEA MAISHA ILA USIJILOGE UKAKOSEA KUOA.PERIOD!!!
Mtibeli kaza hivyohivyo!!!
📌KILL THEM ALL SIMPS.
Leo familia ya Diego jota ikiyumba kwamba ni mwanaume hakuwa strong? Kumbuka alikua dogo sna wa 29 tu
Misukule inajifariji oohhh eti nyie hamjui kitu kuhusu maisha.Kataa ndoa tupo paleee tunawa zoom tu misukule.
Shida kubwa vijana wa sasa wanaoa wanawake ambao wao vijana ndio wanawapenda na wanawake wanajua hii mibwege haipindui.Hawa kama wanasumbuliwa na wanawake Mimi hawawezi kunisumbua Kabisa Mkuu.
Mwanaume utafute pesa Kwa jasho.
Uwalishe watu.
Alafu wasikuheshimu. Alafu uone ni kawaida hata hatua huchukui. Hatari Sana
Shida kubwa vijana wa sasa wanaoa wanawake ambao wao vijana ndio wanawapenda na wanawake wanajua hii mibwege haipindui.
Wanawake wakishajua hupindui meza hakika hakuna rangi utaacha kuiona.Lazima nature ikuadhibu kupiti huyo mwanamke.
Yaani unakuta mtu akitikiswa kidogo tu na mkewe anafyta😀😀😀.Mwanaume kama huyu lazima ndoa imshinde.
Kaka hapa ni kazi na dawa hata bibi ananiambia 🤣Bibi Yako kazi na mfumo wake wa Maisha haufanani na wako na mfumo wetu.
Wewe kwenda tuu kariakoo mpaka upande gari wakati unaishi Sinza.
Kulima hutaki.
Jasho unalitoa ukiwa 6*6 unafikiri hiyo 114 utatoboa?
Karibu kwenye makande gang
Mambo ni mengi kwenye maisha bro usichukulie poa kabisaSijazungumzia emergency cases kama kifo, magonjwa makubwa ya kulazwa, jela n.k.
Hiyo inafahamika