cc: Kikwete (Useless President Tanzania has ever had),Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Unajua maana ya mabeberu?Hakuna maendeleo ya kweli bila connection na mabeberu.
Acheni kuwajaza watu hofu isiyokuwepo nyie 'gang' members, mataifa kushirikiana kwa dunia ya Sasa ni lazima na huwezi kukwepa.Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Malizia tu kwamba loyo tua tumepigwa kitu kizito sanaMobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Hivi ile Noah yako uliipata? Tuliambiwa hela tunayowadai mabeberu inatosha kumnunulia kila Mtanzania Noah.Dola 300m za kishika uchumba toka kwa mabeberu Barrick za kuwapa madini yetu alizipeleka wapi mwendazake?
Is the highest stage of capitalism, that involves expanding of influence or control to other countries through colonialism, neo colonialism, foreign investmentWhat is imperialism?
Jiongeze sasaIs the highest stage of capitalism, that involves expanding of influence or control to other countries through colonialism, neo colonialism, foreign investment
Yule mzee sometimes zilikuwa zinamruka kichwani.Hivi ile Noah yako uliipata? Tuliambiwa hela tunayowadai mabeberu inatosha kumnunulia kila Mtanzania Noah.
Magufuli alikua comedian na ile ilimsaidia kupata kura kidogo alizopata kabla ya kuchafua uchaguzi.Yule mzee sometimes zilikuwa zinamruka kichwani.
Hamna kitu kama hichoJiongeze sasa
Kuwa beberu ni mtu mweupe au ni ubeberu tu?"Nyie" kwanza niondoe kwenye hilo kundi la wajinga wenzio.
Siko upande wa mtu,chama, au itikadi yoyote
Na hakuna mahal nimeshangilia maguful kuwaita watu weupe mabeberu. Check your facts
Hawa ni watu walioendelea ktk nyanja zote Ili tuendelee ni lzm tujiconnect nao.Achana na siasa za ujamaa na mambo ya historia tuliyodanganywa mashuleni Yale yamebeba chuki na dhana dhaifu za kutupia lawama wengine juu ya kushindwa kwetuUnajua maana ya mabeberu?
Huna akili nakupuuzaHawa ni watu walioendelea ktk nyanja zote Ili tuendelee ni lzm tujiconnect nao.Achana na siasa za ujamaa na mambo ya historia tuliyodanganywa mashuleni Yale yamebeba chuki na dhana dhaifu za kutupia lawama wengine juu ya kushindwa kwetu
Akili kwenye nyanya ipi sasa, mtazamo wako sio mtazamo wa jumla.maana wengi waliosoma zamani waliathirika na chuki zaidi kuliko hali halisi.Huna akili nakupuuza
Your perception itakupa jibu zuri kwakoKuwa beberu ni mtu mweupe au ni ubeberu tu?