Ukiona kiongozi yeyote wa Afrika aliye karibu na Mabeberu tambua kuwa huyo yupo tayari kuwasaliti watu wake kama alivyofanya Mobutu Sese Seko

Ulimwengu tumebadilika ndugu, viongozi type ya kina lumumba falsafa zao haziwezi tuvusha karne hii. Hakuna maendeleo duniani bila kushirikiana na beberu. Mataifa yote yaliyopiga hatua za maendeleo ni baada ya kushirikiana na beberu.
 
Hakuna maendeleo ya kweli bila connection na mabeberu.
 
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
cc: Kikwete (Useless President Tanzania has ever had),
 
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Acheni kuwajaza watu hofu isiyokuwepo nyie 'gang' members, mataifa kushirikiana kwa dunia ya Sasa ni lazima na huwezi kukwepa.

'Ukitaka kula lazima uliwe' in JK's voice.
Idugunde Crimea comte Statesman Wakudadavuwa
 
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.

Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.

Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.

Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Malizia tu kwamba loyo tua tumepigwa kitu kizito sana
 
Dola 300m za kishika uchumba toka kwa mabeberu Barrick za kuwapa madini yetu alizipeleka wapi mwendazake?
Hivi ile Noah yako uliipata? Tuliambiwa hela tunayowadai mabeberu inatosha kumnunulia kila Mtanzania Noah.
 
"Nyie" kwanza niondoe kwenye hilo kundi la wajinga wenzio.
Siko upande wa mtu,chama, au itikadi yoyote
Na hakuna mahal nimeshangilia maguful kuwaita watu weupe mabeberu. Check your facts
Kuwa beberu ni mtu mweupe au ni ubeberu tu?
 
Unajua maana ya mabeberu?
Hawa ni watu walioendelea ktk nyanja zote Ili tuendelee ni lzm tujiconnect nao.Achana na siasa za ujamaa na mambo ya historia tuliyodanganywa mashuleni Yale yamebeba chuki na dhana dhaifu za kutupia lawama wengine juu ya kushindwa kwetu
 
Huna akili nakupuuza
 
Back
Top Bottom