Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Moyo wangu ulishutuka sana blaza....🤣
Moyo wangu ulishutuka sana blaza....🤣
Hivi Mpwa si ndo tulikubaliana kuwa Jf wanawake ni wawili tu.Moyo wangu ulishutuka sana blaza....🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Mpwa si ndo tulikubaliana kuwa Jf wanawake ni wawili tu.
Mimi ni mlokole na mtaratibu sana mkuu😌Kama hauhujui huo uzi hapa Jf basi wewe ni mtoto mwema sana na ni mdada wa kanisa wife material 😂
Nilikuwa namendea slowly akanikabia juu.
Hauna IQ ya kumtongoza Joanah wewe koamaa tu na mishangazi iliyokomaa wakina BICHWA KOMWE - 😆 😂Nilikuwa namendea slowly akanikabia juu.
Kwa kweli kwa Joanah, nilifeli vibaya.Hauna IQ ya kumtongoza Joanah wewe koamaa tu na mishangazi iliyokomaa wakina BICHWA KOMWE - 😆 😂
Ghayo de Kobaz 😁Mzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana , nondoz na hoja kama ukija kichwa mchunga unatoka na maamuvu kwa hiyo ukiona mpaka Mwanamke yupo hapa basi anaUsmart Fulani hivi .
Unakuta Kalpana Shadeeya cocastic wanapishana na Popoma GENTAMYCINE kwenye mambo ya Simba sio kawaida hiyo.
Ukitaka kuona Jf ya moto viongozi wakubwa mitandao mengine wanajiachia ila huku Jf hawathubutu kuja na wengine wana account wanachungulia hata kupost kitu hawapost sababu wanajua watakutana na spana , hoja , bullies na mengineyo.
Ukiona Mwanamke amekomaa Jf kaweza kuvumilia yote na yuko active huyo sio poa ni Mwanamke wa nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo watu wanahisi genius is linked to intellectual matters,.. unaweza kuwa genius wa michambo pia