Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

😹😹😹 Kweli sitanii..!!
Kuna mrembo wa kuitwa Giresi afu kumbe ni id ya mwanaume..!!

Humu mambo ni mengi ni kuchukua taadhari kubwa, ukileta hisia utauponza..!! 😹😹
Atauponza nini uduguu? Mbona unaishia makambako? Wakati kituo ni shule ya Tanga.
😂😂😂
 
Eeehh..!! Navaa na rubber band kulinda mizigo yangu..!! 😹😹😹

Hauna dada yako uko unipasie kiongozi?
🤣 Mlinzi wa "mzigo" ni rubber band + pini

whoever created this notion is either intelligent or mentally retarded. Either way, TZ comedians ni wengi mno 😀
 
Eeehh..!! Navaa na rubber band kulinda mizigo yangu..!! 😹😹😹

Hauna dada yako uko unipasie kiongozi?
kiongozi, 😀 ni ngumu sana kwa bro kumpass dada'ake kwa bro mwingine.

bro, labda nku-pass-ie ex wangu wa chekechea 😀
 
Kuna mmoja alikuja kutoa ushuhuda eti aliipigia pisi simu hapo kashaitumia pesa, laaulah ikapokea simu njemba..!! 😹😹😹

Nilimkatalia akanitumia mpaka convo zao na namba kwa ushahidi… nilicheeeeeekka sana’aaa 😹😹😹🤣
🤣 intelligence ya hali ya juu mno.

MTEGO: fungua account, weka profile pic ya kike, reply kwa mwandiko ki-dada dada, afu subiri wakware wanase, akijileta PM/DM anaambiwa tuma nauli, tuma ya bando, nina shida nikopeshe sh. elfu x ntakulipa wiki ijayo, n.k tena kw kubembelezwa

Though tego linaonekana ni la kizamani, yet some men are getting trapped, in the name of empathy, infatuation & horniness.
 
[emoji1787] intelligence ya hali ya juu mno.

Mtego: fungua account, weka profile pic ya kike, reply kwa mwandiko ki-dada dada, afu subiri wakware wanase, akijileta PM/DM anaambiwa tuma nauli, tuma ya bando, nina shida nikopeshe sh. elfu x ntakulipa wiki ijayo, n.k tena kw kubembelezwa

Though tego linaonekana ni la kizamani, yet some men are getting trapped, in the name of empathy & infatuation.
Wanaume wa Bongo ni wana tamaa na ushamba wa mbususu wanapigwa sana huko dating sites balaa.
Ni huruma mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa Bongo ni wana tamaa na ushamba wa mbususu wanapigwa sana huko dating sites balaa.
Ni huruma mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
in the name of empathy, infatuation & horniness. Sote tuseme "Tupigweeee"

cocastic , fungua account kwenye social sites almost zote, na utupige.

Sisi mizuka ya ngono ikishapanda, akili huwa hatuna.
 
Back
Top Bottom