Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
- Thread starter
- #41
Tupo gang gang 😂 😂 🔥 🔥Duh mlakenge de kobazi??!!
Tupo gang gang 😂 😂 🔥 🔥Duh mlakenge de kobazi??!!
😂😂😂 hapa kama huwezi kujenga hoja na kuitetea ukibanwa mbona kukimbia ni kesho tuMzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana , nondoz na hoja kama ukija kichwa mchunga unatoka na maamuvu kwa hiyo ukiona mpaka Mwanamke yupo hapa basi anaUsmart Fulani hivi .
Unakuta Kalpana Shadeeya cocastic wanapishana na Popoma GENTAMYCINE kwenye mambo ya Simba sio kawaida hiyo.
Ukitaka kuona Jf ya moto viongozi wakubwa mitandao mengine wanajiachia ila huku Jf hawathubutu kuja na wengine wana account wanachungulia hata kupost kitu hawapost sababu wanajua watakutana na spana , hoja , bullies na mengineyo.
Ukiona Mwanamke amekomaa Jf kaweza kuvumilia yote na yuko active huyo sio poa ni Mwanamke wa nguvu
kifupi kama wewe ni mtu wa mipasho kimbia haraka hapa so saizi yako😂😂😂Jamaa Hance Mtanashati ni kilaza .
Jf hii nature ya mijadala yake na hukuna Kiki sio rahisi mtu kama Mwanamke kushawishika kuja hata mijadala ya kipuuzi Jf Ina standard zake za kujadiliwa tofauti na platforms nyingine
kwamba wamaanisha kwa jinsia ya KE "critical thinking is inversely proportional to beauty" 🤔Wengi wanakuaga sI wazuri wa sura, natania watoto wangu
Lamomy huwa anatania kwa kusisitiza kwamba humu JF karib members wote ni wanaume until proven otherwise, 😎 beware.Ohhhhpppp....ðŸ¤
Kumbe hao ulio wataja ni Ke....🫣
We jamaa ni kiazi Kikuu sijui ulikujaje Jf .
Hata kusoma nyuzi nyingine hawasomi ?
Mbona hata Magwiji wa Jf wakina Robert Heriel Mtibeli Mshana Jr Maxence Melo unawakuta kwenye Uzi wa kula kimasihara hilo linaondoa Ujiniaz wao ?
Wewe unazichunguza account zao wote muda wote ?
Nipo rafiki yanguWe jamaa upo sijakuona baada ya October 29
Nimefurahi kukuona Bro🫡
Hata Mimi niliona kipindi Cha kati ulipotea sana ilibaki kidogo tu nikuanzishie uziNipo rafiki yangu
Sema tu kwaresma nzima ilinifunga nikawa siingii humu ndan
Nashukuru sana kwa kujali kaka
😹😹😹 Kweli sitanii..!!Lamomy huwa anatania kwa kusisitiza kwamba JF karib members wote ni wanaume until proven otherwise 😎 beware.
fafanua kwanza kwa kusema "Jiniaz" (genius) unamaanisha nini? ili tupate mwongozo wa ulinganifu.Nitajien mwanamke jiniaz aje nimpime kama yeye ni jiniazi, kwan jiniaz ndio nn?
Ni kweliMzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana , nondoz na hoja kama ukija kichwa mchunga unatoka na maamuvu kwa hiyo ukiona mpaka Mwanamke yupo hapa basi anaUsmart Fulani hivi .
Unakuta Kalpana Shadeeya cocastic wanapishana na Popoma GENTAMYCINE kwenye mambo ya Simba sio kawaida hiyo.
Ukitaka kuona Jf ya moto viongozi wakubwa mitandao mengine wanajiachia ila huku Jf hawathubutu kuja na wengine wana account wanachungulia hata kupost kitu hawapost sababu wanajua watakutana na spana , hoja , bullies na mengineyo.
Ukiona Mwanamke amekomaa Jf kaweza kuvumilia yote na yuko active huyo sio poa ni Mwanamke wa nguvu
Hakika unasave na pesa pia !Mtu yeyote anae acha tiktok na insta .. Ukaona anahangaika na jf huyo ni mpambanaji na uelewa wake ni mkubwa.
Wanaume wajichanganye sasa waanze kutuma nauli 😀😹😹😹 Kweli sitanii..!!
Kuna mrembo wa kuitwa Giresi afu kumbe ni id ya mwanaume..!!
Humu mambo ni mengi ni kuchukua taadhari kubwa, ukileta hisia utauponza..!! 😹😹
Lamomy kumbe na wewe ni bro 🤣Huyu bro namkubali sana mkuu...🤣 ameweza ku maintain consistency...😂
Kwani uyo jamaa atamtongoza member wa JF! alaf aje kutoa ushuhuda apa, atakuw box kwel ata mistar atakuwa amepewa humu.NB : Usimkubalie Mwanaume yeyote wa Jf akikutongoza baadae wanatoa ushuhuda kwenye Uzi wa kimasihara kasoro Mimi tu
Kuna mmoja alikuja kutoa ushuhuda eti aliipigia pisi simu hapo kashaitumia pesa, laaulah ikapokea simu njemba..!! 😹😹😹Wanaume wajichanganye sasa waanze kutuma nauli 😀
a.k.a sisi wazamiaji wa PM/DM
Huku kimoyo moyo ID fake anakwambia, "Njoooo!, Njoo! Njoo ulione!, HILI HAPA, HILI HAPA HILI" 🎼🎤🎶📣
Tuko pamoja bro 😹😹😹Huyu bro namkubali sana mkuu...🤣 ameweza ku maintain consistency...😂