Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

Chai.

Kuna members humu hata hilo jukwaa la great thinker hawajui linafananaje, achilia mbali international forum, jf intelligence, jukwaa la siasa.

Wao wanachojua ni kushinda kwenye uzi wa makapuku wakibadilisha sana wanaenda uzi wa kupeana likes, uzi wa picha kisha wana log out.
We jamaa ni kiazi Kikuu sijui ulikujaje Jf .

Hata kusoma nyuzi nyingine hawasomi ?

Mbona hata Magwiji wa Jf wakina Robert Heriel Mtibeli Mshana Jr Maxence Melo unawakuta kwenye Uzi wa kula kimasihara hilo linaondoa Ujiniaz wao ?

Wewe unazichunguza account zao wote muda wote ?
 
Back
Top Bottom