ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Saafii tuendelee 🔥Nipo rafiki yangu
Sema tu kwaresma nzima ilinifunga nikawa siingii humu ndan
Nashukuru sana kwa kujali kaka
Saafii tuendelee 🔥Nipo rafiki yangu
Sema tu kwaresma nzima ilinifunga nikawa siingii humu ndan
Nashukuru sana kwa kujali kaka
Wabongo akili zao zipo chini ndiomana kila kukicha wanatapeliwa km mazuzu..!!🤣 intelligence ya hali ya juu mno.
MTEGO: fungua account, weka profile pic ya kike, reply kwa mwandiko ki-dada dada, afu subiri wakware wanase, akijileta PM/DM anaambiwa tuma nauli, tuma ya bando, nina shida nikopeshe sh. elfu x ntakulipa wiki ijayo, n.k tena kw kubembelezwa
Though tego linaonekana ni la kizamani, yet some men are getting trapped, in the name of empathy, infatuation & horniness.
Sina usemi...wee unasemaje kuhusu wanawake wa jeiefu ???!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] niwapige mara ngapiii? Nimestaafu sahiii. Woiiiihin the name of empathy, infatuation & horniness. Sote tuseme WAPIGWEeee.
cocastic , fungua account kwenye social sites almost zote, na utupige.
Sisi mizuka ya ngono ikishapanda, akili huwa hatuna.
Umeishiwa sio???Sina usemi...
TrueChai.
Kuna members humu hata hilo jukwaa la great thinker hawajui linafananaje, achilia mbali international forum, jf intelligence, jukwaa la siasa.
Wao wanachojua ni kushinda kwenye uzi wa makapuku wakibadilisha sana wanaenda uzi wa kupeana likes, uzi wa picha kisha wana log out.
Unyama sana , nitawapa Mrejesho 😂 😆Mtego wako umewanasa mpaka wanakupa na offer
Hongera sana , maana Wanawake wengi wanapenda kufuatilia vitu vyepesi skendo , umbea nkKuna ukweli kwa 90% uliyoyasema
Mimi nimejiunga JF Tangu Primary (kabla hata ya hizi app) enzi mnaingia kwa Desktop computer na screen ya chogo (ya mzee) enzi za kina JK na ZZK,
Enzi za kina Rara Moko,za kina Deception,Mzizi mkavu, kina Rakims,kina Chief Mkwawa, Kina Tumaini (Aliyempa tahadhari ya mwisho na ya kweli Ben Saa nane)
Jf mpaka habari za udaku wanabishana kwa hoja kama Siasa vile 😂😂😂😂 hapa kama huwezi kujenga hoja na kuitetea ukibanwa mbona kukimbia ni kesho tu
Umeona jinsi ambavyo hauna akili ?Nitajien mwanamke jiniaz aje nimpime kama yeye ni jiniazi, kwan jiniaz ndio nn?
Kama hauhujui huo uzi hapa Jf basi wewe ni mtoto mwema sana na ni mdada wa kanisa wife material 😂Hebu nitag huo uzi usikute kuna shuhuda ambazo hazijatimia physically huko na nimebung’aa hapa kupokea sifa😅
Mzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana , nondoz na hoja kama ukija kichwa mchunga unatoka na maamuvu kwa hiyo ukiona mpaka Mwanamke yupo hapa basi anaUsmart Fulani hivi .
Unakuta Kalpana Shadeeya cocastic wanapishana na Popoma GENTAMYCINE kwenye mambo ya Simba sio kawaida hiyo.
Ukitaka kuona Jf ya moto viongozi wakubwa mitandao mengine wanajiachia ila huku Jf hawathubutu kuja na wengine wana account wanachungulia hata kupost kitu hawapost sababu wanajua watakutana na spana , hoja , bullies na mengineyo.
Ukiona Mwanamke amekomaa Jf kaweza kuvumilia yote na yuko active huyo sio poa ni Mwanamke wa nguvu
Sawa Mzee, haya nenda kanywe visunguraNYIE KWENU NI VILAZA SANA. MPAKA MTU ANAYETUMIA JF MNAMUONA NI JINIAZ? VERY HOPELESS FAMILY.
Pamoja sana mkuuSawa nakupa hongera wewe na wanawake wenzako wa hapa JF.
Is this ghayo..the Mongolian Savage?Unyama sana , nitawapa Mrejesho 😂 😆
🤣🤣Ohhhhpppp....ðŸ¤
Kumbe hao ulio wataja ni Ke....🫣