Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Hii katiba mtu aliyeweka kipengele Cha makamu ambaye hakupigiwa kura arithi urais ndio alituweza....
Aidha uchaguzi urudiwe au mshindi wa pili achukue nchi ikitokea rabsha...
KATIBA MPYA TANZANIA NI LAZIMA
 
Hii katiba mtu aliyeweka kipengele Cha makamu ambaye hakupigiwa kura arithi urais ndio alituweza....
Aidha uchaguzi urudiwe au mshindi wa pili achukue nchi ikitokea rabsha...
KATIBA MPYA TANZANIA NI LAZIMA
Anaweza kuchukua Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Spika au Jaji Mkuu kwa miezi mitatu.

Uchaguzi ni muhimu ufanyike ndani ya miezi mitatu ili kila mgombea aeleze sera zake. Akichaguliwa tutajua anasimamia nini, maono yake, vipaumbele vyake na anatupeleka wapi.
 
Exactly.... Sio mtu anadandia TU.. na waafrika sijui tupoje, mtu kama huna maono na hujui utafanya Nini (our current) kwani lazima ukalie kiti??? ... Unasema TU jamani asanteni ila kwa hii nafasi hapana........
 
Muda mrefu hatuna uongozi kwenye hili Taifa.
Kwa yanayo tendeka na Maadam amekaa kimya kama hakuna ombwe la uongozi tusemeje?
 
Katika dunia hii ambayo ndege aliyotumia rais inajulikana ni 5H-TCR na unaweza kuifuatilia online kuona iko wapi, serikali inawezaje kuficha nyendo za rais?

Na kwa nini serikali katika nchi ya kidemokrasia isiwe wazi kuhusu nywndo za rais?
πŸ‘πŸ‘πŸ€
 
πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…