Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Kuna nn mjini wajuba tujuzeni
 
Mama mitano tena🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏
 
Nyingine wanavujishaga makusudi

Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa

Nzito mno!

Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)

Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Nilitafuta comments yako toka jana nipate neno lako.
 
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Bado mada yako haijatoa hoja ya kushawishi vya kutosha..
Kwani hao unao wasema hapa kutoa siri..., wao hawana kiongozi aliye wekwa mahsusi (kwa kuteuliwa) kuhakikisha hali hiyo haijitokezi huko? Kwanza eneo hilo pekee, unajuwa ni teuzi ngapi zimefanyika kwenye muda mfupi mfululizo?
Mbona maeneo mengine kote kuko vizuri; kama polisi, mahakama, Bunge, na kwingine kote!
Ningependa sana kuamini usemacho hapa, lakini bado nina mashaka makubwa.
 
Nyingine wanavujishaga makusudi

Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa

Nzito mno!

Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)

Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Heshima yako Mzee! Huwa kila nikiona bandiko lako, huwa natulia tulii, nasoma silabi kwa silabi, neno kwa neno, sentensi kwa sentensi! Una madini mazito sana mzee! Kwa bandiko hili, nimekaa mguu sawa, macho mbele. Je, ndivyo ilivyooo!!?? Yangu masikio. Wasalaamu.
 
Nadhani huwa wanashughulikiwa. Ila mimi naona bora ushughulikiwe kwa kutaaa kuonea watu wasio na hatia.
Hapo solution ni kukataa kuwa recruited mpaka kuwe na nifumo ya Haki ilinyooka bila makunyanzi. Mwenye Haki kufanya kazi kwenye misingi isiyo ya Haki ni kama kukiweka chakula kisafi kwenye sahani chafu!
 
Mimi hizo kazi nilishazikataa. Kazi za kutumwa kama Mbwa;kama huyo, piga,teka yule na wewe unatii bila kulezwa kinagaubaga huyo mtu kweli anastahili kufanyiwa hayo. Nilishakataaaa.

Maana mwisho wake ndo unatumwa kama akina Nyundo na wenzake. Mtu una akili yako unakubalije ujinga kama ule?
 
Back
Top Bottom