Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema tuchukulie kama vile hiyo njia haitakuwepo, je alternative nyingine ni zipi ili mtu uwe na alternatives zaidi ya 10.
Asanteni.
By Ponjoro wa Kinondoni kwasasa safarini kuelekea Kizimkazi kumpongeza shemeji kwa kuteuliwa na mama yake mzazi na kuacha kuniteua mimi.
Asanteni.
By Ponjoro wa Kinondoni kwasasa safarini kuelekea Kizimkazi kumpongeza shemeji kwa kuteuliwa na mama yake mzazi na kuacha kuniteua mimi.