Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

Internet ilipigwa nyundo hakuna VPN italeta nywinywi.

VPN itakusaidia kuruka viunzi vya website zilizofumgiwa. Ila mkata switch akizima internet ujue hapo VPN nayo lazima isinzie.

Unless uwe na connection mojakwamoja na wanaotoa internet ya satellite 🛰️ 📡
Naunga mkono hoja brother
 
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema tuchukulie kama vile hiyo njia haitakuwepo, je alternative nyingine ni zipi ili mtu uwe na alternatives zaidi ya 10.

Asanteni.

By Ponjoro wa Kinondoni kwasasa safarini kuelekea Kizimkazi kumpongeza shemeji kwa kuteuliwa na mama yake mzazi na kuacha kuniteua mimi.
Mkuu hebu weka link ya ku download droid vpn au weka logo yake
 
wekeni fiber muwache mateso ya VPN kawaidq vpn haiwaki kukiwa hamna internet.
 
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema tuchukulie kama vile hiyo njia haitakuwepo, je alternative nyingine ni zipi ili mtu uwe na alternatives zaidi ya 10.

Asanteni.

By Ponjoro wa Kinondoni kwasasa safarini kuelekea Kizimkazi kumpongeza shemeji kwa kuteuliwa na mama yake mzazi na kuacha kuniteua mimi.
Internet ikizimwa vpn inafanya kazi gani?
 
Internet haikuzimwa mkuu ndiyomaana kwenye simu yako uliendelea kuona kimshale cha juu na chini, ndiyomaana Droid vpn iliendelea kuteleza ndiyomaana waliotumia primium proxy waliendelea kuaccess kama kawaida.
 
Safi kama haijuzimwa tupe maslifa
 
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema tuchukulie kama vile hiyo njia haitakuwepo, je alternative nyingine ni zipi ili mtu uwe na alternatives zaidi ya 10.

Asanteni.

By Ponjoro wa Kinondoni kwasasa safarini kuelekea Kizimkazi kumpongeza shemeji kwa kuteuliwa na mama yake mzazi na kuacha kuniteua mimi.
Ili uizime
 
Ndiyo nilikuwa nashangaa inakuwaje wazime internet halafu hizi VPN zifanye kazi? VPN inafanya kazi wakirestricts baadhi ya sites/apps na si Internet.

Na hata hizo apps ambazo zinafanya kazi bila internet logic lazima ziwe configured kwenye system za TZ(MNOs) kwamba request ikitoka SCP(SGSN etc) kwenda Online Charging System(OCS) isicharge bali itengeneze CDRs kwa ajili ya Invoice ,je hizo VPN apps zipo configured? Je wakizima internet Packets zitaenda kwenda OCS ikiwa IPs zipo blocked?

Naona mmenye umetoa zaga za PS Core, shule nzuri...
 
Back
Top Bottom