Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

Safari hii wakizima tena.na mimi nitakuwepo pale mawasiliano kuwasalimia.wengine sisi internet ndo maisha yetu.unazima internet Kwa siku 5 hautaki yaonekane uliyofanya unawasha yote yanaonekana ndo imefanya nini?TUMIENI AKILI.
 
Back
Top Bottom