Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Aah! Wapi Ili yumba Mapema SanaThunder⚡☄ mziki wake si wa kitoto
Ilikuwa inafail baadhi ya nyakati. Nazungumzia VPN ambayo haikufail kabisa wala kupunguza speedThunder⚡☄ mziki wake si wa kitoto
Zipo ila lipia mkuuIlikuwa inafail baadhi ya nyakati. Nazungumzia VPN ambayo haikufail kabisa wala kupunguza speed
Exactly 💯Internet ikiwa hakuna VPN haiwezi kufanya kazi.
Uko sahihi, lakini juzi internet ilikuwepo ndiyomaana vile vialama vya upload na download vilikuwepo, na ndiyomaana tuliokuwa na droid vpn tuliendelea kuserereka.Internet ikiwa hakuna VPN haiwezi kufanya kazi.
Hakuna , Ila kuna app ambazo zinajitegemea bila internet kwenye eneo husika Ila inatakiwa uwe umesave vtu ambavyo unataka uangalieZipo ila lipia mkuu
Ndiyo nilikuwa nashangaa inakuwaje wazime internet halafu hizi VPN zifanye kazi? VPN inafanya kazi wakirestricts baadhi ya sites/apps na si Internet.Internet ikifungwa mazima, hakuna VPN ya kukusaidia.
Nimemaanisha kama internet haijazimwa mkuu umenielewa vibaya kama ilo eneo hakuna internet hauwezi kupata mtandao hata ukitumia VPNH
Hakuna , Ila kuna app ambazo zinajitegemea bila internet kwenye eneo husika Ila inatakiwa uwe umesave vtu ambavyo unataka uangalie