Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

Urusi imetengenezwa na Wayahudi. Korea kaskazini hana issue ni tegemezi kwa kila kitu kwa Wachina? Je unataka China aambiwe anatengeneza Silaha kwa ajili ya Hezbollah? Unajua yeye yuko upande upi kati ya Hezbollah na Israel?

Iran iko uchi kabisa mbele ya Israel. Ndio maana wanaweza kuwaua high value Target ndani ya Iran sio mara moja sio mara mbili. Kuna majasusi wengi sana wa Mossad Iran. Kwa ufupi baada ya Jerusalem nyumbani kwa wayahudi ni Isfahan, Iran.

Iko hivi kinachoonekana sasa Israel na US wanamalizana na Proxies wa Iran kama hao Hezbollah, Houthis, makundi ndani ya Syria ( anapiga na Syria sasa hivi), makundi ndania ya Iraq. Wakishawamaliza hawa Proxies, unadhani anayefatia ni nani.
 
Walitaka hizbullah wote waliokuwa wanazitumia wafe lakini hawakufa wote isipokuwa wachache sana na wakafa na wasiohusika ikiwemo watoto
Walitaka Hizbullah washindwe kurusha makombora wanayoyaogopa na jioni yake wakaendelea kuyavurumisha.
ww unauhakika hivo vifaa vikilipuka vinaweza kuua wote waliokua wanavitumia? inatakiwa tujue je mlipuko wa vifaa hivo ni mkubwa au mdogo kuweza kusababisha maafa kwa kila ambaye kitamlipukia?
 
Toka mwaka Jana hili Taifa teule si wawafyekelee mbali Tu hawa wavaa kobazi,au na wao wamechemka
 
ww unauhakika hivo vifaa vikilipuka vinaweza kuua wote waliokua wanavitumia? inatakiwa tujue je mlipuko wa vifaa hivo ni mkubwa au mdogo kuweza kusababisha maafa kwa kila ambaye kitamlipukia?
Suali zuri kwa iDf ambao hatujajua walikusudia nini ?.
 
Toka mwaka Jana hili Taifa teule si wawafyekelee mbali Tu hawa wavaa kobazi,au na wao wamechemka
Dunia nzima ilifikiri watanyamazishwa wiki ya mwanzo tu ya vita.Kufikisha mwaka mmoja mambo yamekuwa magumu kwa Israel kutoka kwa wavaa kobazi tu ambao silaha yao kubwa ni magobore
 
Mzee mbona una lia lia sana bado wewe tu kulipukiwa na iko ki infinix chako kula bomu gaidiiiii 🔥🔥☄
 

Attachments

  • IMG_20240921_185247.jpg
    122.3 KB · Views: 2
ni shambulio baya sana kwasababu wametoa siri kwa adui.ila kiufanisi, mengi yamefichwa tu, ila magaidi mengi yamekufa. kama hujui, ukiachia simu, radio na pagers ziliagizwa mahsusi kwa hezbollah sio kwa raia wasio na hatia. wale raia wa kawaida hawakuathirika sana, ila wale wanaojihusisha na hezbola tu. hata Hassan Nasraaa ukimsikiliza alitaja kabisa kwamba waliagiza pagers 5000 na ndizo walizigawa kwa wafuasi wao na zote zililipuka.

pia wamefanikiwa kuleta taharuki kubwa sana kwa magaidi ya hezbollah kwenye mawasiliano, sasaivi wanaogopa kushika smartphone manake ukiwasha tu israel inajua ulipo na kurusha bom, pagers na radio calls hawagusi kabisa, sasa sijui watakuwa wanawasilianaje. ukiona adui anapata shida kuwasiliana ni mafanikio makubwa sana kwako.

imagine sasaivi, hata laptop kushika wanaogopa. all in all, amani ni kitu cha msingi sana waache kuua watu pande zote mbili.
 
Dunia nzima ilifikiri watanyamazishwa wiki ya mwanzo tu ya vita.Kufikisha mwaka mmoja mambo yamekuwa magumu kwa Israel kutoka kwa wavaa kobazi tu ambao silaha yao kubwa ni magobore
Magobore na mawe
 
Watoto wa askari wa Hizbullah na wale waliokuwa sokoni wakiwauzia matunda Hizbullah pia unawataja kama watu wanaojihusha nao na kwamba n isawa wauliwe.Mbona Umoja wa mataifa na nchi kadhaa zimekataa hilo.
 
Yaani shambulio la kisayansi liue maafisa wa Hizbulah, lijeruhi maelfu ya watu, lilete taharuki nchi nzima, liharibu mipango na livuruge mikakati yote halafu wewe uko zako mbagala umeshiba mihogo na vichwa vya dagaa uje hapa JF useme ni shambulio la aibu na lililofeli!
Wewe ndio uliolipanga?
Jaribio lifeli halafu wahusika inakuwaje tena walalamike na kulaani?
 
Watoto wa askari wa Hizbullah na wale waliokuwa sokoni wakiwauzia matunda Hizbullah pia unawataja kama watu wanaojihusha nao na kwamba n isawa wauliwe.Mbona Umoja wa mataifa na nchi kadhaa zimekataa hilo.
ukanda ule kama hauelewi, unaweza kuona mtu anauza matunda sokoni ila ni mwanajeshi hatari sana wa hezbollah au hamas. mwingine unamwona anaendesha ambulance ila ni komandoo mkubwa mwenye mafunzo, waligawiwa hata hao wa sokoni, kama waliwapa watoto wao hiyo haiondoi ukweli kwamba vilipitia mikononi mwao.

ila wengi hawana nyeti, si waliweka mfukoni, zimefyekwa.
 
Afu wanakataa hawa wavaa kobazi. Namna israel anavyo watungua magaidi huwa najiuliza wanapigaje hawa wayahudi
 
Acha ushabiki.
Hebu tuambie mafanikio yanakuwaje kama umekusudia kumpiga ndege lakini ukaishia kumpiga kumnyonyoa mabawa tu halafu anaruka juu ya mtu kukuangalia kwa chini akiuguza kidonda chake na kusubiri manyoya mengine yaote.
 
Walishindwa nini kumkamata na kumpeleka mahakamani.Au wameamua tu waseme ili wasikike.
Mahakamani atapoteza muda, ni kumueliminate tu. Hata wewe ukiendelea kuleta ubishi Israel watakueliminate
 
kwa bahati mbaya ni kwamba, sasaivi hata hawataki kuangalia tv, wanaogopa zitalipuka.
Wabarikiwe sana wana waisraeli. Mm sina baya nao nina waombea na Mungu anipe mibataka kama imani yangu inavyosema. Amebarikiwa mtu yule aibarikiwe israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…