Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

Mossod tukio liliwapq eshima au mishen bola ilifanikiwa kimbinu kiakili kijasus ni ile ya mkuu wa nishat ya atomic iran. Ile kitu kama kweli walicheza wao sio vijana w cIA basi pale tumewapa mauwa yao,.lkn iyo ya Lebanon akuna kitu wanatapatapa tu.
 
Je Israhell wana lala usingizi salama pamoja na yote hayo? Kila siku raia wanakimbia nchi huu mziki sio wa siku moja au mbili hili goma ni la muda mrefu hivyo ajiandae tu hakuna atachowafanya hizbo pamoja na us wake wale wapo tuu na nightmare kwa myahudi sasa na haouth kajoin Cheni
 
Israel ina population ya watu mil 9.5 takwimu za 2022 na square kilometers 22,145 tu. Eneo dogo watu wengi. Wasipotumia teknolojia, na akili nyingi na wakae kizembe, huku ukizungukwa na maadui, wanakufuta katika ramanj ya dunia. Nao wamegoma kufutwa katika ramani ya dunia. Tungoje kuche tuone mshindi.
 
Hata kama jamaa ni mbumbumbu ila acha dharau. Dah, nikecheka kama mazuri. 😀😀😀
 
Israel asiyelala usingizi na wewe kobazi unaelala usingizi mpo sawa umemshinda nini mbona nchi yake bado ipo vizuri kiuchumi, kiteknolojia, na ni watu wenye furaha lakini nyie kobazi mnaepata usingizi ndio mnaongoza kulalamika na kulia ndugu zetu wapalestina wanaisha, hawana chakula, huko lebanon wamefanyiwa shambulizi la kinyama umewahi kumuona myahudi analia lia kutafuta huruma za dunia
 
hawalali usingizi mzuri kwasababu pembeni kuna hezbollah na upande huu hamas. ndio maana wameimaliza hamas na wamesema hawawezi kuacha lazima waimalize hezbollah hawawezi kulala usingizi wakati kuna nyoka karibu na geti.
 
Teh! Sijui niseme nn ila huwa natamani Israel ashambulie na humu jamii forum aue haya magaidi vijidagaa ya humu kwenye forum
 
Wajamen ndo naingia kwenye huu Uzi nipeni...
Ndugu zangu wa Kobazi kimewakuta no nini...
Mara pagers mara smartphone mara laptop kulipuka...eeeh.

Mbona Naona kama hawa wamba wanapigika kila kukichaaa
 
NETANYAU alikuwa ana- prolong vita ya GAZA ..akimsilbiria Swahiba wake TRUMP aingie madarakani ili atimize lengo lake la kuivuta US ktk vita against IRAN...watu wakafanya juhudi ya ceasefire fire lakini akawa anachenga.
Baada ya NETANYAU kuona kibao kimegeuka kwa KAMALA HARRIS for presidential possibility, then Sasa kaamua kuzalisha vita na Hezbollah a few weeks before US RLECTION ili tu kutimiza lengo lake kwa kuwa anajua lazima IRAN ataingia, na hapo US naye ataingia .Kuna jews wanacheza ndani ya ISRAEL na nje - US
 
Si mchezo, Unaikumbuka Stuxnet?
 
Wewe ndo msemaji wao?
 
Ni kweli kabisa
 
Nilishakwambia Njia ya kuishi uwe na furaha ni kukubali Israel ina Mungu mwenye nguvu. Tulia tuijenge Tanzania yetu
 
Nature never lie,hata muungane itikadi kali wote, kwa kifupi myahudi kawazidi mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…