Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We unazungumzia hennessy, huyo pesa ipo, wazungumzie wa safari lager.Mlevi akigusa Hennessy tu anakaribia kufika robo 3 ya 1M. Akizungusha round?
ππππ dah!We unazungumzia hennessy, huyo pesa ipo, wazungumzie wa safari lager.
Nna jamaa yangu akiwa na 100K mfukoni hata nyumbani halali mpaka iisheπ
Kwana hata Yesu si alituthibitishia hili,nashauri watu wasome maandiko πWana maanisha kwamba ya kesho yatajisumbukia yenyewe π
Mbinu ni kuweka akiba na kuwekeza, lakini haya yote hayawezekani kama hauna nidhamu ya pesa.Tupe mbinu mkuu
π ni kujidunga tu hata kazi hatak mpaka iisheππππ dah!
Huyo amezidi π sasa ikiisha na akapata emergency kubwa?π ni kujidunga tu hata kazi hatak mpaka iishe
Which mkenge?Kuna kipindi nilikuwa niliingia mkenge ila nashukuru nilishtuka mapema
Hallelujah πYahitaji ujinyime kweli kweli hata kwa muda ukiwa unaijenga future yako vinginevyo umri utasogea bila mafanikio yeyote.
Uwa hamzifati? πππMbinu ni kuweka akiba
Hivi hii huwa ni hali ya kawaida au kuna namna? Huyu jamaa yangu akishaishiwa anatia huruma sana na kujiapiza hatorudia kutumia pesa vibaya ila akipata pesa kidogo anarudi kule kule, huwa namuonea sana huruma hasa kwa future yake kama ataendelea kuwa hivyo. Hawezi kukaa na hela kabisa.Lakini mwingine alipata 50k siku hiyo hamnywi maji, ni fujo za hatari. Mtu wa aina hiyo hata umpatie pesa kiasi Gani, atatapanya tu.
Amen pokea muujiza huo πHallelujah π
Uko sahihi.Dawa ya hii ni kuwa na mkopo ukiwa Na mkopo kamwe hutatumia pesa ovyo
Yan nisisogee hata Manyara NP kubarizi nikiwa najijenga? ππAmen pokea muujiza huo π
Eat that money.............π€£π€£π€£π€£π€£Kama pesa uliyo nayo haitoshi kumaliza/ kutatua changamoto na vipengele ulivyo navyo, kula hiyo pesa.
Marafiki/kampani, kuchagua marafiki unaoendana nao hasa tabia ni muhimu mno. Kuna jamaa tulikuwa washkaji sana chuo, baada ya chuo tukakutana kitaa. Yule mwamba hela anatumia na anazo, ila nikaja kushtuka mbona nikiwa na jamaa natoboka sana matumizi yanakuwa makubwa sana? Nikaona huu upepo siuwezi nikamuepuka acha nijikune napofikia nisifosi mambo.Which mkenge?
Kuna ka raha fulani tunapata tukihongaHapo unakuta hakuna hata cha maana alichofanya zaidi ya kuhonga wanawake, kwa sababu hakuna kingine kikubwa kinachomaliza pesa ya mwanaume wa kiafrika haraka kama hicho, nilichogundua vijana wengi pesa wanapata ila wanafanyia mambo ya kijinga halafu wanalialia mishahara au faida haitoshi
Unazifataje na kuna bia tamu, ukikaa kidogo unasikia huyu demu wake nanii, mara hauna baya tajirii πUwa hamzifati? πππ
Kazi ipo ππKuna ka raha fulani tunapata tukihonga
Hatutaki kukakosa hako ka raha...π
Mara moja moja sio mbaya, sasa we kila wikiendi unasogea manyara kwani we vumbi?Yan nisisogee hata Manyara NP kubarizi nikiwa najijenga? ππ