Sina shaka Mawazuri wanamfurahisha na kukidhi matakwa ya mteuaji kwa vitendo.Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Naonga mkonyo kabia MkuuBwana Tozo
Panya wanainjoyWengi wao hamna kitu, sema ndo hivyo bosi kalala tu
Huyu sijampata Mkuu1. Malopes
Noma sanaSina shaka Mawazuri wanamfurahisha na kukidhi matakwa ya mteuaji kwa vitendo.
Mimi ningeomba aliyewateua hao mawaziri mizigo ajitumbue
Nape NnauyeWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Umeme na MajiWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Mdogo wake mwezi february🤣Huyu sijampata Mkuu
Tuondoleee makamba kwanzaHuyu sijampata Mkuu
Kwahiyo hapo maana yake unamtoa kwanza PM ili baraza zima life si ndio?Mana kwakweli hakuna mmoja wote ni uozoo labda dada yangu Angellah Kairuki.Cabinet nzima Hadi Mwenyekiti wao tupa kule kabisa
Hata ungemuondoa Samia haisaidii kitu. Shida tuliyonayo sio waziri mmoja au wawili, shida ni ccm.Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
I think to be honest,Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?