Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Sina shaka Mawazuri wanamfurahisha na kukidhi matakwa ya mteuaji kwa vitendo.

Mimi ningeomba aliyewateua hao mawaziri mizigo ajitumbue
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Nape Nnauye
 
Umeme na Maji
 
Huyu anayeshughulika na haya mambo hapa

images-maji.jpeg
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Hata ungemuondoa Samia haisaidii kitu. Shida tuliyonayo sio waziri mmoja au wawili, shida ni ccm.
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
I think to be honest,

Mawaziri na manaibu waziri wote Tanzania wanatekeleza wajibu na majukumu yao kikamilifu sana kwa weledi, kasi na viwango vya juu mno.

Chuki na gubu binafsi ndio tatizo la wakosoaji wengi wa utendaji wa mawaziri humu nchini.

hata hivyo hali hiyo haikwepeki hususani kwa kiongozi yeyote mwenye dhamana ya uongozi kisiasa kwa umma 🐒

Muhimu kwa kiongozi makini ni kuchapa kazi kwa bidii sana, bila kuzingatia au kujali eruptions za deconstructive criticism bali kuzingatia constructive criticisms na kusonga mbele mwendo wa ngiri 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Back
Top Bottom