Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Huyu alitakiwa awe namba mojaWaziri wa Tozo alieshindwa kusimamia mfumuko wa bei Mbunge wa Kiomboi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alitakiwa awe namba mojaWaziri wa Tozo alieshindwa kusimamia mfumuko wa bei Mbunge wa Kiomboi.
Hata ukimtoa Saa 100 kwenye kiti tatizo litakuwa bado, dawa ni katiba yenye ubora kwa nchi na wananchiWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Wa kuondolewa ni anayewateua mawaziri wabovuWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
1. IJuma Awesu - Mwizi mkubwa na tapeli wa kuzugia uchapa kazi kwa maza kupitia mediaWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Leo Local Economy imezorota Mfumuko wa Bei Gharama za kuishi ziko JUU nayeye anajiita ati MCHUMI.Huyu alitakiwa awe namba moja
Anaesababisha bei ya sukari kupaaWote natoa nabakiza bashe tu.
Nilichogundua tatizo sio mawaziri tatizo ni Mfumo, Ila TANESCO hii wizara hii huyu Jamaa angeachiwa tu awe Naibu Waziri Mkuu pale kwenye Nishati awekwe mtu ambae amechafukwa ili kusudi hawa jamaa wa TANESCO wanyooke na akili ziwakae Sawa sio kwa kututesa hivi hata akiwekwa Kalemani sio vibayaUngekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
BASHWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani